Recent content by mageuzi1992

 1. M

  Ukitaka ujue CHADEMA inakubalika! Wakati mwingine hata kisirisiri angalia hapa!

  Nimekua nikifuatilia mienendo ya baadhi ya wafuasi wa Chama cha kijani...siku za hivi karibuni wameamua kuiga kila kitu cha CHADEMA. CHADEMA ikianzisha mada wanadakia na kudai ya kwao mwisho wa siku inawaumbua. Mfano CHADEMA walisema kuna mawaziri mizigo wajamaa wakadakia wakazunguka nayo...
 2. M

  Dickson, kwanini ulinitendea hivi?

  Stori inasikitisha ila nawashauri dada zangu wasiwe wanakimbilia kutoa mimba afu wanakuja kujuta baadae.
 3. M

  Hizi suruali zina madhara...Ziepukeni vijana.

  tatizo la kuiga diamondi hilo
 4. M

  TFF ilindeni Mbeya City kwa mustakabali wa soka letu

  Yanga wanajisifu eti ball possesion! wakati walianza kumiliki tu pale mbeya city walivyobakia kumi uwanjani! Otherwise Mechi haikua mbaya.
 5. M

  Ole Medei Azimiwa Kipaza Sauti Kanisani.

  Kwa kuwa nishawahi kuona video yake ya ukabila humuhumu JF nafurahi walivyomzimia hiyo maiki vinginevyo angepoteza uwepo hapo kanisani. Na hayo makanisa mengine Dah! hivi wanakosa wakualika?
 6. M

  Mgombea Wangu wa Urais 2015 ni yule atakayenihakikishia kurudisha nyumba zote za Serikali walizouziwa Viongozi na Wafanyakazi

  Ndugu yangu ujumbe wako Leo mzuri, Sasa nachosikitika ni kwamba wewe umeona nyumba tu. Je madini, gesi, bandari nk Mimi nazani cha muhimu ni kuondoa mfumo mzima na chama na kukipa kengine
 7. M

  Angela Mke Wangu, yote ulitaka wewe

  Mentor kipaji unacho mashairi chunguchungu Kila kitu utoacho umejaliwa na Mungu Nikisifu utupacho kwa wengine zumbuzumbu Tegemeo langu leo na wengine wakuige Achana naye Mchacho kila saa ni majungu Kwa kuwa yeye ancho kipajiye kungungu kungu Kazania utupacho ili iwe kumbukumbu Tegemeo langu leo...
 8. M

  Malumbano CCM: Kiyabo amjibu Makonda

  Nashukuru Mungu kwamba wanaanza kuumbuana wenyewe kwa wenyewe!! Kuna walitaka na Chama Chetu CDM kiwe kama chao lakini walishindwa. Hawa Wasaliti walishabikia na wengine Walijaribu kuivuruga Chadema kwa issue ya Zitto lakini Mungu alivyo mwema wameshindwa. Sasa Chadema ni mwendo wa M4C pamoja...
 9. M

  Dr. Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM, CHADEMA (Sehemu ya Pili)

  Katika makala ya Dr Kitila Mkumbo iliyotoka katika Gazeti la Raia Mwema yenye kichwa cha habari ''' Tunahitaji mbadala wa CCM, Chadema -2'''' DR Kitila amejitahidi sana kuonyesha jinsi gani Viongozi wa Chadema walivyo wabinafsi, Jinsi gani hawaambiliki, Jinsi gani wasivyo wavumilivu, Jinsi gani...
 10. M

  Bomani awashukia wanaobeza kazi ya Tume ya Warioba

  ''' Mwanasheria mkuu mstaafu , jaji Mark Bomani amekitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) kuachana na muundo wake wa serikali mbili na kwamba , wawaachie wananchi waamue. Pia Jaji Bomani alisema anasikitishwa na madai yanayoelekezwa na baadhi ya viongozi ,tena anaowaheshimu kuwa Mwenyekiti wa Tume...
 11. M

  Sikubaliani Kabisa na Uraia wa Nchi Mbili!!!

  Miongoni mwa vitu vinavyonikera ni pale ninaposikia raia wa Tanzania anashabikia Uraia wa Nchi Mbili. Eti turuhusu wananchi wapate haki ya uraia wa nchi mbili!!! Ukiona mtu wa namna hiyo muogope. Kinachosikitisha sana ni kwamba kuna hata baadhi ya viongozi wa juu wanaonekana kulishadidi hilo...
 12. M

  Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM aunguruma

  Tuende mbele turudi nyuma....mimi nasema Msindai kakosea! Pamoja na kwamba kuna watu wanaibuka kumtetea. Mimi naamini kakosea kabisa na kitendo alichofanya ni kupiga kampeni.
 13. M

  hii nimeikuta mahali jamani....EBU ONA...

  Kweli umetugusa lakini naomba mdau Mungine alete story ya mwanamke
 14. M

  Mgombea wa CCM Sombetini amkatakata kwa mapanga mfuasi wa CHADEMA

  where are we going as a nation!!!!!!!!!!!!!
Top Bottom