Ukitaka ujue CHADEMA inakubalika! Wakati mwingine hata kisirisiri angalia hapa!

mageuzi1992

JF-Expert Member
Apr 9, 2010
2,503
252
Nimekua nikifuatilia mienendo ya baadhi ya wafuasi wa Chama cha kijani...siku za hivi karibuni wameamua kuiga kila kitu cha CHADEMA.

CHADEMA ikianzisha mada wanadakia na kudai ya kwao mwisho wa siku inawaumbua. Mfano CHADEMA walisema kuna mawaziri mizigo wajamaa wakadakia wakazunguka nayo weeee lakini mwisho wa siku mkuu wa kaya akawaaibisha mchana kweupe kwa kuwateua wale ambao hao makada wa kijani walidai ni mizigo. Hii imewapa credit cdm.

Lingine ni hili la kuvaa magwanda.... jamaa hawa kwa kuiga wacha tu...siku hizi wavaaji wa mavazi ya magwanda kwenye kijani wameongezeka sana!. Eti sijui ndo wanavaa ili waonekane nao makamandaaa au vipi? Kweli CHADEMA jembe.

Bado wataiga vingi tu....lakini mwisho wa siku vitawaumbua.
 
Juzi DR. kasema CDM ikiingia madarakani ni marufuku kupora / kutorosha mali-ghafi za nchi kitakachotoka ni bidhaa tu iliyotengenezwa ndani ya nchi.

Sasa subiri hii lazima utaiona kwenye ilani yao ya uchaguzi 2015.
 
Tumemfukuza zitto nao naona wanaiga kwa kujaribu kwa lowassa!
Ngoja yawatokee puani!

Weee weee weee, Lowasa!!! Wamfukuze!!! Wanajua Ujasiri wa Chadema "Don't try at home" Kweli Mizigo ni watupu kichwani, lakini kwenye jambo la hatari kama hilo, wako makini kinoma!
 
Nimekua nikifuatilia mienendo ya baadhi ya wafuasi wa Chama cha kijani...siku za hivi karibuni wameamua kuiga kila kitu cha chadema. Cdm ikianzisha mada wanadakia na kudai ya kwao mwisho wa siku inawaumbua. Mfano CDM walisema kuna mawaziri mizigo wajamaa wakadakia wakazunguka nayo weeee lakini mwisho wa siku mkuu wa kaya akawaaibisha mchana kweupe kwa kuwateua wale ambao hao makada wa kijani walidai ni mizigo. Hii imewapa credit cdm. Lingine ni hili la kuvaa magwanda.... jamaa hawa kwa kuiga wacha tu...siku hizi wavaaji wa mavazi ya magwanda kwenye kijani wameongezeka sana!!!!. Eti sijui ndo wanavaa ili waonekane nao makamandaaa au vipi? Kweli CDM jembe. Bado wataiga vingi tu....lakini mwisho wa siku vitawaumbua.
Hizi ndio tunaita Hoja Chakavu.
 
Mimi nimeshachoka hata kujadili mambo ya ccm maana ni chama kinachokufa viongozi wake ni wafu watembeao wanachana wake ni wapenda ubwabwa na maharage mwenhekiti ni mtungaji wa mipasho ...shida tupu
 
Nimekua nikifuatilia mienendo ya baadhi ya wafuasi wa Chama cha kijani...siku za hivi karibuni wameamua kuiga kila kitu cha CHADEMA.

CHADEMA ikianzisha mada wanadakia na kudai ya kwao mwisho wa siku inawaumbua. Mfano CHADEMA walisema kuna mawaziri mizigo wajamaa wakadakia wakazunguka nayo weeee lakini mwisho wa siku mkuu wa kaya akawaaibisha mchana kweupe kwa kuwateua wale ambao hao makada wa kijani walidai ni mizigo. Hii imewapa credit cdm.

Lingine ni hili la kuvaa magwanda.... jamaa hawa kwa kuiga wacha tu...siku hizi wavaaji wa mavazi ya magwanda kwenye kijani wameongezeka sana!. Eti sijui ndo wanavaa ili waonekane nao makamandaaa au vipi? Kweli CHADEMA jembe.

Bado wataiga vingi tu....lakini mwisho wa siku vitawaumbua.

Yaani Kati ya watu wanaokurupuka wewe Ni namba moja, Mbona hoja ya maziri mizigo iliibuliwa na CCM yenyewe ,ChagaDeMa ndo mmedandia!
 
Tumemfukuza zitto nao naona wanaiga kwa kujaribu kwa lowassa!
Ngoja yawatokee puani!

mkuu lowasa anaogopeka sana ccm vile vingedere cjui makonda vilisakiziwa c bado mbumbumbu,wazee wenyewe wanaongelea chini ya uvungu,kwani umewahi kumsikia choko mchemba akimtaja lowasa huyu jamaa ni zaidi yz ccm.
 
Back
Top Bottom