Angela Mke Wangu, yote ulitaka wewe

Angela Mke Wangu, yote ulitaka wewe

Mentor kipaji unacho mashairi chunguchungu
Kila kitu utoacho umejaliwa na Mungu
Nikisifu utupacho kwa wengine zumbuzumbu
Tegemeo langu leo na wengine wakuige

Achana naye Mchacho kila saa ni majungu
Kwa kuwa yeye ancho kipajiye kungungu kungu
Kazania utupacho ili iwe kumbukumbu
Tegemeo langu leo na wengine wakuige

JF wawe nacho kila saa kumbukumbu
Hakuna kitu ambacho kisiwemo humuhumu
JF itupacho kinafaa kumbukumbu
Tegemeo langu leo na wengine wakuige

Namalizia kitenzicho Mentor wangu yumo humu
Jina lake Mentor cho Wa kichina humu humu
Kila kitu atupacho Kisifiwe humu humu
Tegemeo langu leo na wengine wakuige
 
Shairi limejaa mafunzo: wamama watimize wajibu wao si kila kitu house girl.bila hivyo yatawakuta kama yakina-Angela. Big up Mentor.
 
haha! Hapana bana sikupiga dah ! Vip kilinitoa eeh niende photo shop now!!

Hapana usiende..tupange tu party yetu (mimi na wewe TU)...ukivae tena. Roho yangu itapata amani sana...
 
Mentor kipaji unacho mashairi chunguchungu
Kila kitu utoacho umejaliwa na Mungu
Nikisifu utupacho kwa wengine zumbuzumbu
Tegemeo langu leo na wengine wakuige

Achana naye Mchacho kila saa ni majungu
Kwa kuwa yeye ancho kipajiye kungungu kungu
Kazania utupacho ili iwe kumbukumbu
Tegemeo langu leo na wengine wakuige

JF wawe nacho kila saa kumbukumbu
Hakuna kitu ambacho kisiwemo humuhumu
JF itupacho kinafaa kumbukumbu
Tegemeo langu leo na wengine wakuige

Namalizia kitenzicho Mentor wangu yumo humu
Jina lake Mentor cho Wa kichina humu humu
Kila kitu atupacho Kisifiwe humu humu
Tegemeo langu leo na wengine wakuige

Cc: Wanaonionea wivu woteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...
mwallu, Asprin, Kaizer, KakaKiiza, Paloma, Nicas Mtei, Mr Rocky, Arushaone, miss neddy, Eiyer, na wote wa Gamboshi...et al et al....
 
Last edited by a moderator:
Leo natumia mchina huku shambani,nimepataje shida kuisoma hii makitu?

Hebu ngoja nitulie kwanza!
 
Leo natumia mchina huku shambani,nimepataje shida kuisoma hii makitu?

Hebu ngoja nitulie kwanza!

Baba paroko imeandikwa ule madhabahuni..iweje uko shambani sasa!??
 
#BazaziJr unaanzia mbaliiiiii nyambaffff! Nimakosa ya Nicas Mtei na Asprin nazaidi na mlaumu sana Kaizer kwakukupa mikoba sasa vitu vya kufikirika lara 1moko kaingiaje?? Ila sijui hata keki ilitoka wapi! Ila kwa zaidi nitabidi nimuulize Paloma kwani ndo alikuwa mubebaji anajua zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom