Recent content by magesa daniel

  1. magesa daniel

    Nilipata ulemavu sababu ya Mapenzi

    pole sana bro! ila tahadhali kuhusu hawa dada zetu au mama zetu katika suala la mapenzi huwa zinatolewa na wanasema bank zenyewe zinamiliki pesa nyingi kuliko sisi ila hazijawahi kutoa pesa bure kisa uzuri wa sura au la! hivyo tuwe tunajifunza kupitia mifano hiyo. Nafikiri kuna mikataba mingi...
  2. magesa daniel

    Naomba mnipeleke sehemu wanayojipatia mke kwa kumfukuza na kumpiga ngwala

    hiyo sehemu ni kwel ipo kwa sub jamii ya wasukuma wa meatu mara nyingi jadi hii huifanya nyakati za mavuno yaani kiangazi. wanachifanya wanaandaa sherehe vijana wanakusanywa jinsia zote waliofikia rika ya kuoa au kuolewa halafu hiyo tafrija wanawake wakimbia na wanaume waanza kuwafukuza...
  3. magesa daniel

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    ulikula mzigo sio bure
  4. magesa daniel

    Mpenzi wangu anapenda sana pesa

    duh bila shaka huo ni mkopo sijawahi kuona fake life kama hiyo ushauri kabla hujamuacha mwambie ukweli na kama atapingana na wewe basi fanya mkopo uishie hapo
  5. magesa daniel

    Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

    Mpauko, mmh pole sana ndugu kwa mitihani hiyo ila bado binafsi sijajua kama ni story au ni hadithi ya kweli
  6. magesa daniel

    Simulizi: Namchukia Mama Yangu

    aksante shunie kwa story nzuri
  7. magesa daniel

    Napenda sana mtoto, lakini najua mtoto si wangu. Ila mdada analeta ghasia. Nifanyeje? Nipo Marekani kwa sasa. Naomba ushauri

    duh kwel mkuu kwa huyu dada ulichemka na ukicheki picha zake tu unasoma picha halisi huyu kikubwa kakwe ni pesa hakuna zaidi ya hapo
  8. magesa daniel

    Napata wapenzi wakubwa kiumri

    tafuta hela kwanza
  9. magesa daniel

    Anafanya majukumu yote ya ndani lakini si pesa ya urembo wangu

    acha kazi baki nyumbani ili ajue kabisa upo kwa ajiri yake maana huo mshahara wako hauna faida kwa family yenu
  10. magesa daniel

    Simulizi: Namchukia Mama Yangu

    shunie ubarikiwe tena ulete story tamu kama hii
  11. magesa daniel

    Simulizi: Namchukia Mama Yangu

    kabisa umeona ni nzuri Sent using Jamii Forums mobile app
  12. magesa daniel

    Simulizi: Namchukia Mama Yangu

    mwendelezo vp sehemu ya 27
  13. magesa daniel

    Simulizi: Namchukia Mama Yangu

    sehemu ya 24 wapi
Back
Top Bottom