Clever Htz
Member
- Jan 28, 2020
- 14
- 7
ReferenceWakuu Mimi na tatizo moja ambalo linanikuta katika mahusiano.
Mara nyingi kama sio mara zote nimekuwa najikuta nimeangukia katika mapenzi na watu walionizidi umri. Sio masugar mama hapana ila difference inakuwepo 2 to 4 years na pia nkitafta rika langu inakuwa shida. Nifanyeje?
PS: Nina umri wa miaka 24
Sent using Jamii Forums mobile app
Drake
,,*God Plan
Ndugu iyo n mipango ya mungu labda ungepata saizi yako ikawa kila day wanakutosaaa
Rizika tu na hali yako




