Recent content by Magarinza

  1. M

    JamiiForums Tanzania kwa wanaoshangilia na kukebehi manji kuhamia zambia

    Yes ilitangazwa na Dr Silaha naye siku hizi yupo CCM pamoja na Manji
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Godbless Lema apandishwa kizimbani Mahakama Kuu Arusha, anyimwa dhamana

    Anawavuruga hasa mbwa wa kijani nyie. Kufa mtakufa tu mpende msipende.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Godbless Lema apandishwa kizimbani Mahakama Kuu Arusha, anyimwa dhamana

    Hivi mama yako aliwahi kuolewa kweli? Sababu we inajulikana ni mtoto wa ajali akiwa kwenye ile kazi yake.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na CCM waliwaahidi watanzania Katiba Mpya kabla ya 2020

    Nchi inanyooshwaje juu ya msingi(katiba) mbovu na uliopitwa na wakati?? Haiwezekani kuweka divai mpya katika kiriba kikuukuu alisema Bwana Yesu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Chedieli Sendoro, Serikali isitupangie cha kufanya

    Wakala wa chama cha giza kaguswa hapa na analipukaaaaa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Orodha ya MAFISADI ilikuwa na watu kumi na moja (11). Mmoja ni Lowasa yupo CHADEMA?UKAWA sasa. MAFISADI wengine kumi (10) wapo wapi???????????????????????? Na baada ya list of shame Slaa alimtaja Magufuli kama FISADI, Jee alimtoa lini kwenye hiyo list????????????? Lowasaaaaa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Orodha ya MAFISADI ilikuwa na watu kumi na moja (11). Mmoja ni Lowasa yupo CHADEMA?UKAWA sasa. MAFISADI wengine kumi (10) wapo wapi???????????????????????? Na baada ya list of shame Slaa alimtaja Magufuli kama FISADI, Jee alimtoa lini kwenye hiyo list????????????? Lowasaaaaa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukawa wameingilia Uhuru wa mahakama

    Uhuru wa mahakama zipi unaongelea!!?? Hizi za CCM au!!??
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili nampongeza sana Mbunge wa Mafia (CCM), Abdulkarim Shah

    "Condenser" Hahaaa...., imani za watu hizo. Kakikuwa hako katoto taifa tutegemee nini eti...!!? By the way mi nimependa yeye mwenyewe mbunge kuingia kwenye maji kuokoa watu, ni zaidi ya kutoa hela bana. Bravooo mheshimiwa mbunge!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mafuriko Dar. Maneno na nasaha za MBOWE Ni funika bovu

    Dah...!!! hii misifa nimecheeeka hadi kojo limetoka.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mhariri wa Mwananchi, Theophil Makunga, naye kuburuzwa Mahakamani leo!

    Nachochukizwa hapa jf ni watu kujifanya wanahasira bila kuchukua hatua yoyote dhidi ya huu unyanyasaji wa washenzi wenye mamlaka. Hovyooo..... Acha nikaokoe watz wenzangu kwenye mafuriko.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua hali ya Mbunge Sumari huko India

    Mama angu longi alikuwaga anaipenda ccm ila siku hizi akisikia viongozi wao wanaumwa anasema bora wapitilize ili wapungue.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Dom Mjini

    Muanzisha mada anaonekana mbea mbea hiviii..., mtu wa taarabu sanaaa na magamba magambaaaa. Mteja wa magazeti ya shigongooo... In short mdaku.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mgomo wa wauza mafuta?

    Kupita kurasini na kuona magari ya mafuta ndo utafiti...!!?? Hapa we ndo unabwabwaja mbona jinibreni!!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Zitto amkaribisha Kafulila CHADEMA

    Bora JK. Hovyo.........
Back
Top Bottom