Ntemi Kazwile
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 2,182
- 309
Hii serikali inaongozwa na wasio na uwezo, dhaifu na ambao hawakustahili kukisogelea kiti cha enzi.
Wanabodi tuwe makini, sheria ya magazeti ya mwaka 1976 ikitumika ipasavyo, jf tunaweza kufungiwa kwa kuuita serikali legelege!.
mafuta yanapatikana katika baadhi ya vituo, mfano BP kuna mafuta ila tatizo ni foleni ndefu sana.
ukiangalia kwa vituo ambavyo wanaingiza mafuta wenyewe tunategemea wawe na mafuta ila kwa wale wanaonunua kwa hawa wanaoingiza mafutan kwa kweli wana haki ya kutouza maana wao wanategemea bei itangazwe na uwura ndio nao wakanunue mafuta kwa wanaoingiza. kazi inakuja sasa kwa wale wanaonunua kwa hawa waingizaji na wao wakiwa na kiasi fiulani cha mafuta ambayo walinunua kwa bei ghali..
nadhani hili swala liangaliwe vema na upya serikali ioneshe kuwa inaweza kufanya maamuzi kutokana na taratibu, sheria na kanuni.
Huu mpango kwa kucontrol price matokeo yake ndio haya.. Let the market determine the price.Usawa wa haki wa kutopata hasara wa hivyo haupo, cha maana hao wanunuao kwa wengine nao wauze kwa bei mpya kwani siku za baadaye bei ikipanda pia nao hawatalazimika kuuza bei ya chini.
Kupita kurasini na kuona magari ya mafuta ndo utafiti...!!?? Hapa we ndo unabwabwaja mbona jinibreni!!Mafuta yapo bandarini yakutosha siku 32, mie jana mwenyewe nimepita kurasini depo kule na kukuta magari ya mafuta yapo kwenye foleni kupakia mafuta.
Fanya tafiti sio kubwabwaja tu humu ndani unatuaibisha sana wengine
.....Msanii Kikwete hahusiki kabisa na hili tatizo la petroli kulanguliwa....Kuhusu tatizo hili mtafuteni Ngeleja au naibu wake Malima.... hii kauli inaweza kutolewa na ofisi ya mawasiliano ya Ikulu....Madudu kila siku ndani ya nchi yetu na hakuna hata anayewajibishwa kwa kushindwa kazi.
Wanabodi tuwe makini, sheria ya magazeti ya mwaka 1976 ikitumika ipasavyo, jf tunaweza kufungiwa kwa kuuita serikali legelege!.
Nitasema ukweli daima, fitina kwangu ni mwiko!Wanabodi tuwe makini, sheria ya magazeti ya mwaka 1976 ikitumika ipasavyo, jf tunaweza kufungiwa kwa kuuita serikali legelege!.
walalamikaji utawajua tu.serikali imeshusha bei ya mafuta ili wananchi wa kawaida waweze ku afford kuendesha maisha yao,wewe badala ya kuwalaani hao wahujum uchumi wanaoficha mafuta unailalamikia serikali iliyoteremsha bei ya mafuta..........
hii tabia ya kulalamika lalamikakule kijijini kwetu tunaiita uvivu wa kufikiri na utegemezi wa mawazo.tubadilike,hiyo tabia wanasaikolojia wanasema ni ya kike kike,take care of ur self plz.
Nilitoa ushauri hapa kwa Mods kuwa wale watu wote ambao sio GT kwenye JF waondolewe haraka kwani wanatuaibisha na wengine kuonekana km wao kumbe sivyo, na narudia tena kumuomba Mods alitekeleze hili.
Mafuta yapo bandarini yakutosha siku 32, mie jana mwenyewe nimepita kurasini depo kule na kukuta magari ya mafuta yapo kwenye foleni kupakia mafuta.
Fanya tafiti sio kubwabwaja tu humu ndani unatuaibisha sana wengine
Nani amekwambia hawachukuliwi hatua......hao waliogoma majuzi na kufungiwa walichukuliwa hatua nani?alikuwa mjomba ako?acha porojo wewe kawadanganye kijijini sio sisi.Kwa hiyo hao wanaoficha mafuta na kusababisha adha kubwa kwa wananchi wachukuliwe hatu na nani
Fikiri kwa kutumia ubongo wa kulia na kushoto!
Nguvu ya umma hata sisi tunayo,hujakatazwa kusema ila umekatazwa kuropokaHata kama tutanyamaza, vitisho vyenu havitaathiri nguvu ya umma.
Sukari ya 1,700 inauzwa 2,500 tusiseme?