Ukawa wameingilia Uhuru wa mahakama

Ukawa wameingilia Uhuru wa mahakama

ng'adi lawi

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
2,956
Reaction score
1,116
Mgombea urais wa Ukawa pamoja na mwenyekiti mwenza wa Ukawa James Mbatia wameingilia Uhuru wa mahakama kwa kuzungumzia kesi zilizo mahakamani na pia kuna watu wamefungwa kihalali na rifaa mpaka mahakama ya juu kabisa imetupwa. Kwa nini wasikamatwe?
 
Uhuru wa mahakama zipi unaongelea!!?? Hizi za CCM au!!??
 
Mgombea urais wa Ukawa pamoja na mwenyekiti mwenza wa Ukawa James Mbatia wameingilia Uhuru wa mahakama kwa kuzungumzia kesi zilizo mahakamani na pia kuna watu wamefungwa kihalali na rifaa mpaka mahakama ya juu kabisa imetupwa. Kwa nini wasikamatwe?

ilikuwa n enz za mwl kutishiana kwa ujinga. wa aina hii
 
hupati kura hata moja pumbavu mkubwa.
 
Mgombea urais wa Ukawa pamoja na mwenyekiti mwenza wa Ukawa James Mbatia wameingilia Uhuru wa mahakama kwa kuzungumzia kesi zilizo mahakamani na pia kuna watu wamefungwa kihalali na rifaa mpaka mahakama ya juu kabisa imetupwa. Kwa nini wasikamatwe?
Hapo umeongea pumba tupu.

Kwani Lowassa au Mbatia kusema kuwa awamu ya 5 ya Uongozi wa Ukawa wakiingia madarakani watafuatilia kwa misingi ya sheria kuziangalia kesi za masheikh wa Zanzibar na Babu Seya na mwanawe Papii Kocha 'wanaoozea' jela, hivi huko nako ni kuingilia uhuru wa mahakama?

Wacha kuweweseka wee gamba.
 
Mimi sina chama na wangesema watarekebisha mfumo wa mahakama na majaji na mahakimu watasailiwa na kuajiriwa upya ningewaelewa lalini siyo kuzungumzia kesi zilizo mahakamani na xilizotplewa hukumu tena mpaka na mahakama ya rufaa. DPP uko wapi? Jitokeze watu waache jazba.
 
Back
Top Bottom