Tunajua kuwa ni mbaya na ndo mana kapelekwa huko. Hakuna marlezo ya ziada?.hali yake ni mbaya sana
Hivi bado kumbe tuna wagonjwa India?? Mimi nilifikiri Mwakyembe alikuwa wa mwisho kurudi!!
Hivi hili tatizo la afya za viongozi wetu ndiyo reflection halisi ya afya za watanzania???
Ma Great Thinkers wenye mtandao wa huko India, Mbunge wetu mpendwa anaendeleaje???
Wacha matani bana, we unaona kurudia uchaguzi ni madihara utakosa mshahara. usiombe iwe katutoka.Ni mwaka sasa hajafungua macho.
Ma Great Thinkers wenye mtandao wa huko India, Mbunge wetu mpendwa anaendeleaje???
Hali ya mheshimiwa mbunge wetu huko India inaendeleaje??? Mwenye taarifa za karibuni???