Kwema wakubwa..Nina allion 1zz ila sasa mafuta ya 70k ambayo ni kama lita 17.2 natumia siku 5 tu, na hapo distance nayotembea kwa siku ni 23km kwenda na kurudi. Plugs, coil nimebadili na oxygen sensor pia nimeisafisha lakini bado ulaji wake ndo huo. Ushauri wataalam
Habari ndugu zangu
Niko na changamoto kidogo. Nimefanya kazi na shirika X kwa muda wa miezi nane na kwenye mkataba wamesema kutakuwa na siku 28 za likizo ya kulipwa ambazo mimi sijatumia hata siku moja.
Sasa imetokea nimeresign, ila HR anasema siwezi kulipwa hio hela ya likizo kwa sababu mkataba...
1. Dont stress yourself
2. Amini what you have in mind na kubwa zaidi UJIAMINI
3. Vaa smart, usiwe mng'ao
4. Jitahidi kujibu maswali yote utakayouluzwa.
5. Swali la "tell us about yourself" ndo sehemu ya kukusaidia kutoa uwoga..jitahidi kudraft majibu ya hilo swali then rehearse severally hata...
SPeed has nothing to do. Confidence ndo jambo la msingi kuliko yote. Unaweza ukareply hata jibu ambalo sio kweli but confidence ulokuwa nayo ikakubeba... confidence, eye contact.. hizi za muhimu
Habari zenu ndugu zangu.
Katika harakati za kujipambania kutafuta ajira na kulingana na kasi ya teknolojia ya dunia inavoenda, kuna mambo muhimu sana ya kuzingatia kabla ya kusubmit application yako ya kazi
1. ATS-CV
Huu ni mfumo wa uchakataji wagombea (Applicant Tracking System) ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.