Ulaji wa mafuta Toyota Premio

Ulaji wa mafuta Toyota Premio

Sisi wa cc4400 hapa naona haturusiwi kuchangia...
 
Kwema wakubwa..Nina allion 1zz ila sasa mafuta ya 70k ambayo ni kama lita 17.2 natumia siku 5 tu, na hapo distance nayotembea kwa siku ni 23km kwenda na kurudi. Plugs, coil nimebadili na oxygen sensor pia nimeisafisha lakini bado ulaji wake ndo huo. Ushauri wataalam
 
Ulitaka utembelee siku ngap ? 😂
 
Kwema wakubwa..Nina allion 1zz ila sasa mafuta ya 70k ambayo ni kama lita 17.2 natumia siku 5 tu, na hapo distance nayotembea kwa siku ni 23km kwenda na kurudi. Plugs, coil nimebadili na oxygen sensor pia nimeisafisha lakini bado ulaji wake ndo huo. Ushauri wataalam
Hapo ni sawa na 7km/l ni sawa na crown 4 gr 😂, unatumia spark plug gan hizo unazoziita original code zake ni zipi?!
 
Back
Top Bottom