Unajua huo ndio ushaidi wa kiwango cha unafiki kilivyokuwa kikubwa kwa hao wajomba zetu. Kama kweli huyo mzee ni fisadi kwa nini asifikishwe kortini lama kina kitilya masamaki nk?
Niliwahi kusema hapa kwamba hata mwenyezi Mungu angefanya miujiza wake a kamleta malaika akapewa uongozi kupitia kwa hao wajomba moja Kati ya mambo Mawili litaokea.
Ama wanarubuni awe fisadi na anakataa watamnyang'anya silaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.