Hivi CHADEMA haina wazee wa Dar es Salaam?

Hivi CHADEMA haina wazee wa Dar es Salaam?

kaitamarogo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Posts
461
Reaction score
496
Nimekuwa nikiona mikutano maalum ya CCM na pengine kujibu hoja mbali mbali kupitia watu wanaitwa wazee wa dar es salaam. Ukilinganisha vyama vyote vina mabaraza ya vijana UVCCM pamoja na BAVICHA vile vile na makundi ya akina mama pande zote mbili .

Kuepuka mikutano ya hadhara ambayo siku nyingine inazuiwa wangekuwa wanaita vyombo vya habari na kuongea na wazee wa busara.
 
chadema hainaga wazee na ndio maana hua inamaamuzi ya hovyohovyo,we tizama hata ndani ya chama wengine hua wanawakosea adabu wazee,ni hawa walisema eti Dr kashikwa na mwanamke sio maamuzi yake yale.Ile haikua sawa kwani ukiachilia mbali siasa yule mwanasheria aliyetoa kauli ile ni kama kaitoa kwa mtu mwenye umri wa baba yake nikimaanisha anaweza kumzaa kabisa,na ndio maana hiki chama kimekua kikiyumba kila uchao
 
unaowaita wazee wa Dar Es Salaam, huwa wanakutana na viongozi wa serikali
 
Back
Top Bottom