Uteuzi wa Rc Gambo CdM waitana Arusha kwa dharura

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
1,984
Reaction score
1,409
Uteuzi wa Gambo wa kuwa mkuu mpya wa mkoa wa Arusha imewachanganya viongozi wa chadema. Wameitana ktk kikao cha dharura kesho kumjadili na kupanga mikakati. Taarifa iliyotolewa na kabibu wa cdm mkoa wa Arusha Mstahiki Kalist Lazaro ambae pia ni meya wa jiji la Arusha limewataka wenyeviti wote wa halmashauri zinazongozwa na cdm mkoani arusha na wabunge wote kukutana kesho. Msiyempenda kaja hivi lile tangazo la Mh Lema la kumuhamisha mrisho Gambo Arusha limepotelea wapi?
 
Sijui wanaweweseka nn Hutu mayor na lema
 
Haki haipotei..wote walioshindana na ukweli wamerudi nyuma.. Namkumbuka RC Mulongo .Namkumbuka Jaji wa kesi ya Lema. Kila la kheri RC Gambo katika kutupeleka kwenye mkoa wa viwanda
 
Ukikua utaacha
 
Hizi njaa zitawaua mwaka huu kachukue buku 7 yako
 
Haki haipotei..wote walioshindana na ukweli wamerudi nyuma.. Namkumbuka RC Mulongo .Namkumbuka Jaji wa kesi ya Lema. Kila la kheri RC Gambo katika kutupeleka kwenye mkoa wa viwanda

RC ni mhimili wa halmashauri zote mkoani kwake ni mshauri tu ila maamuzi ya mwisho kisheria ni ya Baraza la madiwani kwa hiyo wanatakiwa washirikiane badala ya kushindana. Makada wa ccm na wa Chadema waache uchochezi ili utulivu tilio nao Arusha uendelee.
 
Uteuzi wa Gambo wa kuwa mkuu mpya wa mkoa wa Arusha imewachanganya viongozi wa chadema. Wameitana ktk kikao cha dharura kesho kumjadili na kupanga mikakati. Taarifa iliyotolewa na kabibu wa cdm mkoa wa Arusha Mstahiki Kalist Lazaro ambae pia ni meya wa jiji la Arusha limewataka wenyeviti wote wa halmashauri zinazongozwa na cdm mkoani arusha na wabunge wote kukutana kesho. Msiyempenda kaja hivi lile tangazo la Mh Lema la kumuhamisha mrisho Gambo Arusha limepotelea wapi?

Hakuna Cheo cha "Kabibu" wa Mkoa CHADEMA,labda kipo Ugambani.

Btw Ahsantekwa kuja na kwa taarifa
 
Spidi ulokuja nayo na posho uongezewe wewe kilaza
 
Meya kazuiwa kujiongezea posho sasa anahaha.
 
Hahaha freyyyyy, umewauwa na plan zao za kipuuzi
 
Back
Top Bottom