Recent content by mafoleni

  1. mafoleni

    Watanzania mtakapoona kila nyumba kuna msiba ndipo mtatubu kusifia kila neno

    ili tujue tuamini kuwa korona inaua ua silent...kwanza utuambie kwenye ukoo wenu wamekufa wangap kwa corona? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mafoleni

    Mwanamke anaweza achana na mpenzi wake halafu wakaendeleza urafiki wa kawaida?

    wanaume wengine ni mapoyoyo kweli sasa hapo unafanya uchunguzi ili ugundue nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mafoleni

    Naomba kujuzwa taratibu za kuwaandikisha watoto mali kisheria

    Ndugu zangu, Naomba msaada kwa anaeelewa taratibu za kuandikisha watoto mali kisheria. Mimi nina kajumba kangu ila nataka niwaandikishe wanangu wawili. taratibu zipoje? au unachukua tu karatasi unaandika kama wosia. Nisaidieni jaman Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mafoleni

    Mwamposa na wenzake waachiwa kwa dhamana. Najiuliza kesi ya mauaji ina dhamana? Ila ya uchochezi/ kutakatisha haina?

    We mtoa mada bogazi kweli' wale mabwege wanaokufaga kula maka nani anakamatwaga! watu wangapi wanakanyagana wakati wa hija na wanakufa? ulishawahi kusikia imamu kapelekwa mahakamani. Nyinyi ndugu zetu wa Mnyazi Mungu sijui mnamatatizo gani. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mafoleni

    Kula tende na nanasi kabla ya tendo, then ingia mzigoni kisha njoo hapa unishukuru

    Hayo mambo yanawahusu nyinyi wanaume wa dar' nyi endeleeni tu kula chips yai mwisho wa siku mtakula mpaka mavi ya kuku kwa aajiri ya kuongeza nguvu za kiume. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mafoleni

    Wakati Masheikh wa uamsho wakiozea Jela, Mchungaji Mwamposa ambaye ana tuhuma ya kuua watu 20 yuko nje

    usipotoshe watu. unajua maana ya kuua bila kukusudia? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mafoleni

    Wakati Masheikh wa uamsho wakiozea Jela, Mchungaji Mwamposa ambaye ana tuhuma ya kuua watu 20 yuko nje

    ulishawah kuona wapi kesi ikiungiruma kutokana na vifo vinavyotokeaga kule Maka wakati wa Hija? vifo vya kwenye mikutano ya chadema ama ccm ulishawahi kusikia watu wameshtakiwa lini? uwanjani watu wanakufa ulisha wahi kuona Simba au Yanga wameshtakiwa? Tatizo nyi wenzetu shule imewapitia mbali...
  8. mafoleni

    Nilimkopesha pesa ampeleke mwanae kwa sangoma kutibiwa lakini sasa anasumbua kunilipa

    Kuna mwanajeshi alikuwa anauguliwa na mwanae, akanifata nimuazime pesa ampeleke mtoto wake kwa sangoma kwa kuwa hospital wameshindwa kujua anaumwa nini. Aliniomba nimuazime kama laki na nusu hivi nikampatia hiyo hela. Sasa mshahara umetoka nikimpigia simu hapokei. SMS hajibu. Yaani kwa ujumla...
  9. mafoleni

    Mama watoto wangu, wazazi wake wamekataa mtoto wao asibadili dini ili tuweza kuwa mume na mke

    Mara kadhaa nimekuwa nikileta mada ya kuhusu mama watoto wangu ambae ni Islamic na wazazi wake wamekataa mtoto wao asibadili dini ili tuweza kuwa mume na mke mbele ya MUNGU kwa sababu Mimi ni Christian. Ukweli ni kwamba tumetoka mbali sana kimaisha toka tulipokuwa tumepanga mpaka kujenga na...
  10. mafoleni

    Hizi combination ni nzuri sana

    Hakuna combination nzuri kama mapenz +Pesa.
  11. mafoleni

    Tetesi: GWAJIMA KULIAMSHA DUDE LEO

    Nitumie mkuu nione hiyo video mi sijaiona jamani
  12. mafoleni

    Picha: Kaburi la Ruge laanza kuchimbwa huko kijijini kwao Bukoba

    Mbona nyerere hakupelekwa butiama moja kwa moja. Hujachangia chochote huna undugu nae kaa kimya hayakuhusu. ACHA KUFANANISHA NYERERE NA VITU VYA KIJINGA. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mafoleni

    Picha: Kaburi la Ruge laanza kuchimbwa huko kijijini kwao Bukoba

    "Mbona Nyerere Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mafoleni

    Fatma Karume amtetea Dudubaya kama iIivyokuwa kwa Amber Ruti

    Ulipokuwa unafurahia kifo cha OSAMA BIN LADEN ulikuwa hujui kama anawanae? Haya mlipokuwa mnaunga mkono kifo cha Gadaff mlijua hana ndugu? Acheni unafiki kama msiba umekugusa ni wewe na nafsi yako msilazimishe mtu aungane maombolezo yasiyo muhusu. Kashindwa kukaa na dukuduku moyoni Sent using...
Back
Top Bottom