Hao polisi wamezidi kuonea wanyonge bora jamaa kaonyesha utetezi wa dhidi ya haki yake ndio maana wameshindwa hata wenzie kuingilia kati bali kusuluhisha na mbona za wakubwa huwa hawagusi wanaishia kuchungulia madirishani tu waache uonevu.
Kwasasa ndugu zangu matukio kama hayo ama ya ajabu zaidi ya hayo ndo mda wake mana kama mnasoma vizuri biblia basi hamtaona ajabu sana. Kumbukeni tukio kama hilo limeripotiwa siku si nyingi huko Mwanza kwa hiyo sina budi kuwaomba watanzania wenzangu kuwa huu ndo mda wa maombi na kuomba kwa imani...
Hii noma ingawa ndo njia ya wote lakini inauma yaani ndo kaanza tu kuzivuna kutokana na mawindo ya mda mrefu bila kutoka kuigiza kama teja na kamata mwizi men mpaka kutoa tracs/music lakini anatutoka ghafla kama utani. Ni kweli vyema huwa havidumu bali vyenye matatizo hudumu ingawa sijui ni kwa...
Watanzania kaeni chonjo na kuweni macho mana danganya toto sasa ndo mda wake mana mbio za kusaka hatamu zi usoni na wajanja wote wataibuka kwa style tofauti. Huyo hana jipya mana mtoto wa nyoka ni nyoka hawezi kuwa mbuzi hata siku moja.
Kwa hili ni sawa lakini sijui wamejipanga vipi na ukiritimba wa serikali ya CCM dhidi ya kufungia vyombo vya habari vinavyojaribu kutoa na kuandika habari za ukweli na uwazi? Bado kazi ipo inabidi wajipange kisawasawa wasijekaa hewani kwa sekunde.
Brother, mbona sikuelewi mana ukishasema msafi tayari msafi mana kama atakuwa na kasoro ndogo tu basi anafaa kwani hakuna mkamilifu duniani. Lakini kwa LOWASA huwezi kutushawishi kuwa ni msafi kwa lipi? Kwa kiongozi ama mtu yeyote aliyehisiwa ama kutokubalika mbele ya muasisi wetu Mwl. Nyerere...
Naomba msaada wa jinsi ya ku un-lock printer hiyo (EPSON STYLUS 1410) inapojifunga (lock) maana hizi printer huwa zinajifunga baada ya kutoa copy kiasi fulani cha karatasi (printing) na kila moja huwa na idadi yake tofauti. Hii yote ni kwa sababu nimeinunua na muuzaji hajui jinsi ya...
Naomba msaada wa jinsi ya ku un-lock printer hiyo (EPSON STYLUS 1410) inapojifunga (lock) maana hizi printer huwa zinajifunga baada ya kutoa copy kiasi fulani cha karatasi (printing) na kila moja huwa na idadi yake tofauti. Hii yote ni kwa sababu nimeinunua na muuzaji hajui jinsi ya kuifungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.