Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,470
Ujinga, umasikini na maradhi bado ni tatizo kubwa sana.
Fafanua, mjinga nani?
Ujinga, umasikini na maradhi bado ni tatizo kubwa sana.
hv yule mwanamama aliyesemekana yupo mochwari lakini yeye kaibukia nyumban imepitaje pitaje? Wenye kuelewa kuhusiana na huu mtafaruku anijuze. Manake sikujua mwisho wake ilikuwaje kuwaje?
Toa habari kamili; mi ndio nakusikia wewe sijasikia habari hii.
Ina maana wewe hujui kama si wote wanaozikwa kwamba wanakuwa wamekufa? wengine huwa wanazindukia mochwari kwenye yale mafreezer.
Hii ni changa moto kwa wale wanaozika mtu masaa mawili baada ya kupoteza fahamu/kuzimia, imagine wamezika watu wangapi hai!!