aaakghhhh nimetapikaje, kama hujui kitu siku zote utakuwa hujui kitu. yaani kuna mbwa kutokana na akili yake fupi anatukana. mdau hapo uliyeleta topic safi sana lakini naomba nichangie tofauti kidogo, elimu ni muhimu wala sikatai, lakini jaribu kusoma zaidi uchumi wa hzo nchii ulizotaja utajua...
tutaoongea mengi but ALLAH ndiye mwenye ukweli. kila mtu ufanya aonacho sahihi kwake. huyu jamaa siamini kama anachotaka ni kuoneeekana...
angetaka hiloo angechukua watu wa media wamphotoe na kumrecody, kwa piicha hizi inaonesha ni watu ndiio wanampiga bila hata yeye kujua. kwa maelezo ya...
aaaghhhhh sasa mlitaka wafanyeje labda. huyu dada alishasema hataki aongelewe lolote na clouds, sasa kumuongelea si kuvunja makubaliano. mmmmxxxuuuuu sasa si tusipate habari za wengine kwa ajili ya mtu m1? acheni ukabotolo, si mumuandike nyie kama mnamtaka. mmmxxxxuuuu sipendagi miwatu...
hahahahahaaa mdau wa perfume ya kuombana umenichekesha hadi nmepaliwa bhana. aah so watu wote harufu inafanana? disco nouma sana, ila kama kuna disco lilinishngaza ni mtara girls a.k.a mangamba yani ilikuwa hakuna kufuata sijui wavvulana wa wapi wala wapi. miaka yopte niliyokaa wavulana wanatoka...
aaah. kumbe polisi wana umuhimu? humu c ndio mnasemaga kila siku bora wafe? au labda nyie mnachotaka ni vituo tu kuwa wazi? watz hatuna jema. mara polisi wafe. mara atalinda nani. eti tuunde jeshi letu, hahahaaa, jeshi kila mtu anaunda tu. mabomu ya mbagala tu watu walitambaa hadi kawe bila...
namtumbo, nakapanya, nanguruwe( hayo ni majina ya maeneo sio ya watu)
kingine tujaribu kuwa wastaarabu na kuheshimu tamaduni za watu, wao wangoni kuamua kutumia majina ya wanyama sio ushenzi so sio vema kusema ni washenzi. ni mtazamo wao na utamaduni wao. % kubwa ya majina ya ukoo ni wanyama...
well said wadau. yaan humu napataga raha sana.
yaan namuunga mkono mbatia, huyu jamaa hakurupuki kuongea, kama sera umeisoma utamuelewa, ila kama hujaisoma endelea kujadili kijiweni kuwa anatafuta sifa.
mkuu kwa maelezo yako tu hapo juu naamini lazima uliwapa mbovu hatari. hakuna mafanikio kwa mtu yeyote kama anakosa baraka za wazazi wake, ndugu unaweza kusema hawakuhusu lakini kwa kiasi fln wamechangia katika malezi yako.
sasa unaweza kukuta wakati mnazinguana ulitukana watu wazima. KUBWA LA...
mi kinachonikera humu jf ni hiki, kuna watu wanajidai wanajua, mi nawaona kama mapimbi hata wakinitukana poa tu, it is not fair mtu kaleta mada yake hapa, kama haijajitosheleza c mnamuelekeza au tafuten detail zaidi, sasa mtu kajipinda kwa uwezo wake ndo umeishia alipofikia alafu anatukanwa...
Hata mimi haya mambo yanaichanganya. nshakaa kambi ya jwtz kukiwa na askari walioa polisi tena wenye nyota, pia magereza. kwa nilivyozoea kuona kwa watu wa jeshi moja kupigiana saluti ni jambo la lazima kama mtoto anapomuamkia mzazi wake, cjawai ona sgt wa jwtz anampita meja wake bila kutoa...
muhongo ndio nani? hv hizo hela anazitoa mfukoni kwake hadi haonekane Mungu? kuna siku alikupa mshahara wake? alikuwa mkapa akaondoka kaja kikwete nchi inaendelea, kaondoka atakuja mwngne. huyu muongo aliyepeleka umeme vijjn na REA? nimepita kijiji ki1 nikakuta kuna umeme nyumbani kwa mwl mkuu...
hapa naona hakuna mtu anaeelewa kuhusu usafiri wa songea, mimi daily niko road na hayo magari. hivi kwa nini hamjiulizi why superfeo haifi miaka nenda miaka rudi? zimepita kampuni ngapi na zikafa? sio kwamba ni wababe or sheria iko mikononi, hawa ni wafanya biashara na wanajua nini mteja...
hahahaaaaaa jaman hadi machoz yanantoka. hii post kwa kweli nataman nprint kabsa ili ikae kama kumbukumbu maana ni stress free, hahaaaaaaa dah, mwalimu BUGA nouma sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.