Kumtosa Prof. Muhongo

Kumtosa Prof. Muhongo

Mojawapo ya kazi ya wizara ni kutunga sera.hivi Muhongo ametunga sera gani ambayo tutamkumbuka nayo?

For me Mrema lyatonga atakumbukwa kuliko muhongo.

Muhongo,Magufuli na marehemu Mgimwa ni watu wenye hadaa kwa kutumia ufundi wa kuongea.

Mleta mada unadhani watoto wanamkumbuka baba yao kwa kuleta nyama nyumbani?

Unatuwekea umeme kwa mkopo tutakaoulipa baadaye halafu unaachia mabilioni yapotee yet unataka tukusifie!!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Nawe unaamini si za serikali,kumbe tra wanakimbizana na waliopata ili iweje? Too late mwizi na aliyefanikisha wizi wote ni wahalifu tu,wakati anapitisha makaratasi ili swahiba yake atuibie alikagua uhalali wa kampuni anayoipigia debe???Faida ya kuitwa professor iko wapi???wacha akajifunze watanzania wa sasa sio wale wa NDIYO MZEE!!!!

Yap. Inawezekana ndiyo tumepotea zaidi. Nahisi. Maana hizi issues za kushabikia shabia bila analysis zinatisha sana. Akisema yoyote, hata kama katumwa na mkewe watu tunashabikia tu. Hatujawahi kuwa namna hii kabla.
 
Nawe unaamini si za serikali,kumbe tra wanakimbizana na waliopata ili iweje? Too late mwizi na aliyefanikisha wizi wote ni wahalifu tu,wakati anapitisha makaratasi ili swahiba yake atuibie alikagua uhalali wa kampuni anayoipigia debe???Faida ya kuitwa professor iko wapi???wacha akajifunze watanzania wa sasa sio wale wa NDIYO MZEE!!!!

Kishachukuliwa na wanaomjua. watamtumia kuweka sawa mambo yao na huku tunabishana hovyo. Bila shaka umesoma au kusikia. Wale wenzake wengine wote wa ESCROW halali yao kutimuliwa, Siyo Muhongo. NI taasisi ya serikali na hakuna anayemiliki. Lakini huyu bwana alikuwa wa kivyake vyake na angesaidia sana kutuacha somewhere
 
Katika ujinga mkubwa sana kwa watanzania ambao tumeufanya kipindi hiki cha mwisho cha utawala wa JK ni kumtosa Prof. MUHONGO. Huyu mtu amekuwa ingini ya maendeleo ya sector ya nishati nchini kwa asilimia kubwa sana. Amejitahidi sana kuweka sawa masuala ya nguzo za tz kutoka South Africa na pia amefanikiwa kushusha gharama za conne tion majumbani. Hatujaongelea mkakati wa gas na miradi mingi sana kuanzia kiwira mpaka mchuchuma.

Watanzania tumezoea kushikwa shikwa na ujinga jinga ikafikia sehemu tukawa wajinga sana na kushawishi system kumtoa! Lazima Mungu, ama katuroga au katulaani mpaka vichwa haviwazi tena.

Mwenyezi Mungu mpe amani Prof.

hakuna pengo lisilozibika kijana alikuwa anatekeleza tu miradi ilishaandaliwa na wenzie pia ni pesa za wahisani hizo


ripot ya pac wanakwambia toka awe waziri wa hiyo wizara deni la tanesco limeongezeka mara 3 yake na linakuwa kwa kasi ya ajabu ina maana matumiz yamekuwa makubwa hakafu hadi raisi akaamiru wizara ya nishat na madin kila mwwz ipeww bilion mbilo za ziada wakat wizara zingine bajet zao ni mgogoro leo unatwambia mungu katuroga kweli mingu unamhusisha ktk uchafu huu wa escrow hata kama una mapenz na muhongo yamezid.
 
muhongo ndio nani? hv hizo hela anazitoa mfukoni kwake hadi haonekane Mungu? kuna siku alikupa mshahara wake? alikuwa mkapa akaondoka kaja kikwete nchi inaendelea, kaondoka atakuja mwngne. huyu muongo aliyepeleka umeme vijjn na REA? nimepita kijiji ki1 nikakuta kuna umeme nyumbani kwa mwl mkuu dukani kwa mchaga na nyumba chachechache tu? nikajiuliza hii ndio REA? tz hatujafikia huko kwa kweli, hii sector inatakiwa tuifanye iwe business kwanza hadi ikimudu kujiendesha yenyewe ndio tuifanye charity. huwezi kutumia million 200 kupeleka umeme kwa ajili ya kummulikia mtu 1 ukajii wewe ni profesa, kwa nini huyo mtu 1 usimtafutie means nyingne kama solar nk,
kijijini babu yng hata hela ya kula hana luku anapewa bure?
ndio maana tanesco inafirisika na madeni kila kukicha. hii sector tunatakiwa tuwe na roho ngumu ili ijiendeshe. sasa km tunafurahi ooh gharama za kuingiza zimepungua, je unajua gharama ya nguzo kuitoa porin hadi unaiona mjini?
tunadanganywa tu na haya mambo ya free mara bei ndogo wakati kuna sehemu unalipa kodi.
SO PONGEZI NI KWA WALIPA KODI WOTE WASIOMTAKA MUHONGO NA WENZAKE
 
hakuna pengo lisilozibika kijana alikuwa anatekeleza tu miradi ilishaandaliwa na wenzie pia ni pesa za wahisani hizo


ripot ya pac wanakwambia toka awe waziri wa hiyo wizara deni la tanesco limeongezeka mara 3 yake na linakuwa kwa kasi ya ajabu ina maana matumiz yamekuwa makubwa hakafu hadi raisi akaamiru wizara ya nishat na madin kila mwwz ipeww bilion mbilo za ziada wakat wizara zingine bajet zao ni mgogoro leo unatwambia mungu katuroga kweli mingu unamhusisha ktk uchafu huu wa escrow hata kama una mapenz na muhongo yamezid.

Yaliongezeka kwa kuwa alikuwa anafanya kazi. Hayakutakiwa kupungua.
 
Kabembe umeongea point ya msingi sana .na hapa ni mojawapo ya gape kubwa wenzetu walioendelea wanatupga.badala ya kutengeneza sytem stable ambayo hata akija mwovu itakuwa ngumu kuichakachua tunate geneza umaarufu bnafsi.hii .mbaya sana.
 
Tutapata mengi ckaishatoka wakati yupo kila MTU alikuwa anamsifia sana sahizi shidaaaa
 
HII nchi ni ya kijinga sana yaani tunashindwa kiwatumia wataalam kwa maslahi ya wanasiasa.na wafanyaniashara eti kwa sababu hawakupewa vtalu daaah.
 
Dont you ever look at one side only of a coin Brother. Sio kila jambo Muhonga alitenda jema ana mabaya yake pia na mazuri yake pia ikiwemo hilo la kushusha bei ya connection ya umme. So mtu anapokosa sioni ubaya anapo adhibiwa na itakuwa ni ujinga tena uliokithiri kisa katenda wema ambao ni moja ya jukumu lake kma kiongozi kwa wananchi kumwacha unataka tuendle na ujinga huu mpka lini? Leo una msupport kisa kafanya jukumu lake hayo mabilioni yaliyo potea ambayo kesho yange mwezesha kushusha hata hyo bei ya unit 1 ya luku hupati uchungu?

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Muhongo the best minister kwa wizara hiyo tokea tupate uhuru kaeni na ujinga wenu wa kuwatumikia wachaga iko siku mtajuta
 
Back
Top Bottom