Mungu kaumba alivyotaka yeye ili utukufu wake uheshimiwe. Kumbuka bado uu hai na lolote laweza kutokea ili Mungu azidi kutukuzwa. Mshukuru Mungu ulivyo (sikujui) kwani hayo ndio mapenzi yake na tena mshukuru
Pambana na mambo ya maendeleo huku ukimtanguliza Mungu. Muda utaenda wewe utaendelea huku yeye akizeeka bila kuona unaterereka. Pia mpende hata kwa unafiki. mwisho jua huyo mwanamke ni kama project yako ya muda mrefu hivyo vumilia
Kaa nae kwa upendo mkubwa uhakikishe amepata ushauri nasaha na ameanza kutumia dawa kisha tafuta utaratibu mzuri wa kumrudisha kwao akiwa bado anaamini unampenda na ufanye matendo ya huruma ya kumfuatilia unakomrudisha aendelee na dawa. Yaani mfanye sehemu ya familia yako japo hatokuwa hapo.
Umri wenu bado mdogo sana katika ndoa. Mshukuru Mungu kwanza kwa kuonyeshwa kucha mapema. kuwepo kazini na kutokuwepo hakutakuhakikishia wao na mubosi kuachana.
Pima vinasaba lea wanao kama itakuwa ni wako na kama la chapa mwendo
Hata kama ni wako talaka umeshatoa achana nae
pia kumbuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.