Recent content by MADINI CHUMA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge 'Kisu' kuliko wote bungeni!

    Hapana, mimi naona Ester Latiko ni kiboko aseee
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola akataa mabadiliko feki

    Kangi Lugola ni CCM mchana lakini usiku ni UKAWA DAMU, tuulizeni tuliyohuku Mwibara tunayafahamu mengi kuhusu huyo mlopo wa kizazi hiki
  3. M

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa sasa lafikia 39 trillioni

    Ni kutafakari kwa kina ni vipi tunaweza kujikwamua kutoka hapa tulipo. Kupanda kwa Public Debt bila kuwa na miradi ambayo inauwezo wa ku-pay back deni hilo ni tatizo kubwa. Ni muda mzuri sasa viongozi wakatueleza ni lini na ni kwa njia ipi deni hili litaondoshwa kuliko kujisifu kwamba bado...
  4. M

    JamiiForums Tanzania CCM waanza kwa mbwembwe Kahama

    "Ndugu mtangazaji hilo nalo unauliza? CCM itaendelea kushinda kwa sababu watanzania wengi bado ni wajinga." MAKAMBA SR.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Katibu wangu wa CCM Wilaya awatukana Wanaccm

    Ni kawaida ya CCM kutukana, hiyo siyo mara ya kwanza.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa: Kwanini tubarikiwe?

    Ndugu wanaJF, mara nyingi huwa nafikiria waliotunga wimbo wa taifa walimaanisha haya tunayoyaona au mengine yasiyotendeka? Tanzania inaviongozi ambao wako tayari kushuhudia wananchi wao wanakufa kwa kukosa madawa wakati wao wanawaibia mabilioni ya hela halafu tunaimba Mungu ibariki, Viongozi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya Zitto ya neno 'mwanasiasa na kiongozi' kweli tunaielewa?

    Hapana, maneno hayo si mazuri sana kwa kiongozi kama ZZK kwani anamchango mkubwa sana kwa jamii japo anamapungufu yake.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa watanzania kutoifahamu "tanganyika"

    Wadau, nasikitika sana ninapomskia mtu tena msomi na kiongozi wa nchi hii anaposema haitambui TANGANYIKA. Mfano ni Mh. Nchemba katika mikutano yako mara nyingi husema haitambui TANGANYIKA pia jana nimemsikia kiongozi mmoja wa CCM akisema haitambui, sasa nina maswali machache naomba mnisaidie...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mh. Tundu Lissu kuhusu Muungano bungeni - 12 Mei 2014

    Kwa nondo kama hizo unategemea nani azijibu kama siyo kuwaleta waimba taarabu walete vijebe vyao? Hoja ni nzito lakini mtu wakuzijibu hayupo zaidi ya kumleta kibajaji na komba walete maneno yao ya kwenye khanga
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ungependa swali lipi aulizwe Mwigulu Nchemba leo hapa Washington DC?

    Muulize, yeye nachama chake walikusanya maoni yawananchi kuhusu muungano wanaoutaka au wanatumia wingi wao pamoja na uwezo mdogo wa wajumbe waupande wao kuwasemea wananchi?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi logo ya klabu ya Yanga

    Tatizo la viongozi wa yanga hawakwenda shule
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nitagombea ubunge Jimbo la Mwibara

    Endelea kutumika tuone nani mjinga
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nitagombea ubunge Jimbo la Mwibara

    Nitagombea kupitia cdm, hao wengine nikupitia ccm kwani bado hawajitambui.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nitagombea ubunge Jimbo la Mwibara

  15. M

    JamiiForums Tanzania Nitagombea ubunge Jimbo la Mwibara

    Wadau, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23. Elimu yangu ni kidato cha sita na nimwanafunzi wachuo kikuu, ninamalengo ya kugombea ubunge jimbo la Mwibara. Sababu Zakugombea ni 1. Tunashida ya barabara tangu uhuru mpaka kesho kitu ambacho kimekuwa nikero kwa wananchi waliowengi...
Back
Top Bottom