kwa kitendo cha Wabunge wa UKAWA kuingia Bungeni kusaini na kisha kutoka kisa tu eti hawamtaki Naibu Spika!!!inawafanya wawe wabunge HEWA wanastahili kutumbuliwa!
Kilichotokea leo ni kituko kambi ya upinzani bungeni wakiongozwa na Mhe. Freeman Mbowe, wameamua kuweka mpira kwapani!na kukimbia Bungeni badala ya kuweka mpango mbadala!
Walianza asub kwa kudai eti hawakuwa tayari wakaomba watawasilisha jioni, jioni imefika tunashuhudia kituko badala ya...
Acha uongo tumemasikia wote, hajasema kurusha live ni swala la kuzungumza alichosema ni kukaa chini na wadau wa habari kwa maana ya waandishi walio Dodoma kurahisisha ufanyaji kazi wao
Nimeikuta mahali hii!
"Kazi niliyotumwa na WanaCCM ya kuirudisha CCM madarakani Bara na Visiwani, nimeikamilisha kwa uaminifu!! Dr. Shein kaapa Rasmi kuwa Rais wa Zanzibar! Sasa niko tayari kustaafu Ukatibu Mwenezi na Itikadi wa Chama changu!! Nawashukuru wote kwa msaada wenu!!"
Kwa mtiririko niijuao wa kumpata Mkurugenzi wa Taasisi ya Uma kama TBC hakuna ubishi kuwa Nape kausika kwa asilimia mia moja kama Waziri mwenye dhamana ya Habari!
Mtakumbuka wiki tatu hivi zilizopita baada ya Magufuli kuteua Mwenyekiti wa bodi ya TBC, waziri husika (Nape) aliteua wajumbe wa...
Hivi mnajua Mkurugenzi wa TBC anapatikanaje? Rais anapelekewa jina na Waziri wa Habari ndio anateua na mkumbuke ni Nape huyu ndio alimteua wiki mbili tatu zilizopita Dr Rioba kuwa mjumbe wa bodi ya TBC!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.