Madimbaone
Member
- Feb 19, 2016
- 16
- 6
Kwa mtiririko niijuao wa kumpata Mkurugenzi wa Taasisi ya Uma kama TBC hakuna ubishi kuwa Nape kausika kwa asilimia mia moja kama Waziri mwenye dhamana ya Habari!
Mtakumbuka wiki tatu hivi zilizopita baada ya Magufuli kuteua Mwenyekiti wa bodi ya TBC, waziri husika (Nape) aliteua wajumbe wa bodi na ndani yake akamuweka Dr. Rioba. Nilistuka kidogo, nilipofuatilia ikaonekana hawako mbali sana huwa wanaongea!
Ghafla leo Dr. Rioba kateuliwa na Rais mkurugenzi wa TBC. Mchakato wa kuteua Mkurugenzi wa TBC huanzia kwa Waziri husika na hapa ni Nape Nnauye, mapendekezo hupelekwa kwa Rais kwa uteuzi!
Sasa Nape huyuhyu mnazi wa CCM kampendekeza Dr. Rioba??!!! Ama kweli Nape kaanza kubadilika sana. Tutegemee maajabu mengi kutoka kwa chinga huyu!!