Madimbaone
Member
- Feb 19, 2016
- 16
- 6
Kilichotokea leo ni kituko kambi ya upinzani bungeni wakiongozwa na Mhe. Freeman Mbowe, wameamua kuweka mpira kwapani!na kukimbia Bungeni badala ya kuweka mpango mbadala!
Walianza asub kwa kudai eti hawakuwa tayari wakaomba watawasilisha jioni, jioni imefika tunashuhudia kituko badala ya kuwasilisha mpango au hotuba ya kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni akaishia kulalamika eti katiba inavunjwa na Magufuli kwa kuchukua hatua kuwabana wapiga pesa, wakwepa kodi nk.
Hakika hii aibu ya kwanza kubwa!
Nimekosa matumaini tena na wapinzani nchi hii!