Mwananchi wamwomba radhi Waziri Nape. Uandishi huu ni changamoto sana

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,599
6,669
Inashangaza, mhariri aliiacha iende kwenye soko na baadae wanaomba radhi?

c6568cf38e93f896209f87b27cb063d5.jpg

What happened to our credible Mwananchi?
 
Habari yenyewe iko wapi? Na je hiyo radhi wameomba kwenye front page ya gazeti lao kama walivyofanya kwa habari potoshwi?
 
Habari yenyewe iko wapi? Na je hiyo radhi wameomba kwenye front page ya gazeti lao kama walivyofanya kwa habari potoshwi?
Hii ndio radhi waliyoomba, lakini stori hao jana ilikuwa kubwa kwa mbwembwe na ni lead stori! Aibu kubwa sana
 
Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    8.8 KB · Views: 31
Habari yenyewe iko wapi? Na je hiyo radhi wameomba kwenye front page ya gazeti lao kama walivyofanya kwa habari potoshwi?
Ni kama wabunge wa ccm , wanatukana wapinzani hadharani na bungeni halafu baadaye anafuta kauli kwa kumnong'oneza tu naibu spika .
 
Basi kama Mwananchi halifai jaribu Uhuru. Ni zuri na habari zake ni za kweli na uhakika.
 
Back
Top Bottom