Wabunge UKAWA, ni wabunge HEWA

Madimbaone

Member
Feb 19, 2016
16
6
kwa kitendo cha Wabunge wa UKAWA kuingia Bungeni kusaini na kisha kutoka kisa tu eti hawamtaki Naibu Spika!!!inawafanya wawe wabunge HEWA wanastahili kutumbuliwa!
 
Mkuu, hata wakiwepo mchango wao haupo bungeni. Juzi wamemsema sana Kikwete kwa kusafiri sana nje. Leo Magufuli amesikia kilio chao naye wanamsema vibaya eti hasafiri. Mkapa hakukosea kuwaita majina yale
 
hewa ni wale wanaojadili vitu visivyowasaidia wananchi na kila kitu ndio hao ndio mizigo ndio maana wakaona wasionyeshe bunge live ili kuificha ili wananchi wasije wakawatumbua uchaguzi ukifika
 
Ukitaka kujua kuna upuuzi unaedelea dr tulia alikosa dakika 20 kujadil swala la wanafunz lakini alipata masaa mawili kuliairisha bunge
Tulia nae ni jipu
 
kwa kitendo cha Wabunge wa UKAWA kuingia Bungeni kusaini na kisha kutoka kisa tu eti hawamtaki Naibu Spika!!!inawafanya wawe wabunge HEWA wanastahili kutumbuliwa!
Ndiyo maana daima nitaendelea kusema kuwa VIjana wa Lumumba pamoja na Viongozi wenu Mungu aliwalaani na kuwanyima akili dhidi ya Machozi ya Watz kwa kukosa huduma bora na zamsingi zaidi ya mika 55 ya huru.
 
Hawa jamaa ni futuhi kabisa!
Ila hawampiti yule wa Sanam ya Diamond.
Kiuhalisia Mbunge 1 wa UPINZANI= Na Wabunge 50-100 WA LUMUMBA kiuwezo ktk uchambuzi/kujadili wa masuala ya Kisiasa,Kiuchumi,KIutamaduni na hata Kijamii.
Mfano tu nikukimbia kuonyeshwa kwa Bunge Live,CCM do fear their shadow and fear of unknown.
 
Ndiyo maana daima nitaendelea kusema kuwa VIjana wa Lumumba pamoja na Viongozi wenu Mungu aliwalaani na kuwanyima akili dhidi ya Machozi ya Watz kwa kukosa huduma bora na zamsingi zaidi ya mika 55 ya huru.

Matendo huzungumza zaidi ya maneno. UKAWA wamepewa na wapiga kura halmashauri nyingi waziongoze.Toeni huduma bora kuliko CCM katika maeneo mnayoongoza wengine wawaige.Tunaposema Dr. Slaa ni habari kubwa tunalinganisha Wilaya aliyoiongoza na kazi alizofanya kulinganisha na wateule wapya wa CDM,thibitisheni kwa matendo makosa ya wengine.

Tulia ni mbadala wa Makinda ambaye hatukaufiki namna yake ya kuendesha kama ilivyo kwa JPM baada ya JK.
 
Hujui unachoongea nakushauri urudie utafiti wako usahihishe kauli yako,kama siyo wapinzani EPA tungejua wapi ESCROW na wizi mengine mengi yaliyofanywa na wale wanaoitwa mafisadi tungejua wapi?
 
mbunge mmoja wa UKAWA ni sawa na wabunge 100 wa CCM kihoja..
ndio waliomsababisha Makufuli aogope bunge..
kuliwekea mipaka ya kua live..
na hatimae kuwafungia..
ivi UKAWA ingekua na mabwege kama wale wanaopendekeza tuweke masanamu ya akina YO YO YOO
kuna mtu angeogopa bunge ?
wewe jiulize ni nani walioanza kufichua ufisadi wa serikali ya CCM ?
 
Back
Top Bottom