tinker taylor hapo umenena, mimi nimefungua kiwanda kanda ya ziwa ila usumbufu nilioupata simshauri yeyote afanye biashara Tz, imagine ni mwendo wa mizinga na delays kuanzia mpakani, TRA,TANESCO, TIC,Polisi, city council na kwingine kote unakopita,nimesumbuka toka August 2011 mpaka jan2012 na...