Recent content by Madenge Origino

  1. Madenge Origino

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba amemteua Mbarouk Seif Salim kuwa Naibu Katibu Mkuu Zanzibar

    Hivi cuf bado ipo hai kumbe🤣🤣🤣! Usaliti haujawahi kumuacha mtu salama.
  2. Madenge Origino

    JamiiForums Tanzania Serikali: Walimu wa Shule za Sekondari na Msingi walioajiriwa ni elfu nane pekee

    Mkuu hilo ni igizo kutoka juu🤣🤣🤣
  3. Madenge Origino

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Kamarada Humphrey Polepole kuzungumza na Vyombo Vya Habari kesho Ijumaa Novemba 20, 2020

    Chakubanga kazini! Aisee! Kumbe zile pesa za Covid kutoka EU ndio zimenunua maV8 yenu CCM?
  4. Madenge Origino

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wekeni pingamizi Mahakama Kuu ili matokeo yasitangazwe baada ya Mawakala wenu kufanyiwa figisu

    Hapo inahitajika nguvu ya Umma tu sasa. Hakuna cha mahakama wala nini
  5. Madenge Origino

    JamiiForums Tanzania Tusitengeneze hamaki: Hizo kura feki zinapigwaje?

    Mzee mwenzangu naona kidogo kidogo unaanza kupoteza kumbukumbu. Hivi huelewi kinachoendelea kuhusiana na mawakala wa upinzani kutimuliwa vituoni? Unazungumzia wasimamizi wa uchaguzi jee unakusudia hawa makada wenzako wa CCM? Mwenzako Mwalim alipoona anaanza kupoteza network basi aliamua...
  6. Madenge Origino

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari kimataifa vimeanza kuripoti mauaji huko Pemba

    Si chombo cha habari tu bali hata hayo maji unayokunywa huko kikijini kwenu ni kwa msaada wa watu wao! Khanithi mkubwa wee
  7. Madenge Origino

    JamiiForums Tanzania WanaJF tunaomuunga mkono Lissu sasa ni muda muafaka wa kumsaidia Lissu ashinde!

    Kwa utolopo huu uliandika bila shaka yoyote wewe utakuwa ni mzee wa Likwidi tu!
  8. Madenge Origino

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yaongeza muda wa kuwaapisha mawakala wa vyama vya siasa kwenye uchaguzi mkuu hadi tarehe 23 Octoba 2020

    Tuzidisheni kupiga kelele ili hap NEC watende haki
  9. Madenge Origino

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Diwani wa CCM Juma Raibu avamiwa na Kuvunjiwa vioo vya magari

    Nenda kachuke buku 7 Lumumba! Utumbo kwa leo unatosha
  10. Madenge Origino

    JamiiForums Tanzania RC Kunenge: Mvua zimesababisha vifo vya watu 12, nyumba 107 zimesombwa na maji na nyingine 800 zimezingirwa!

    Kenge wewe na ifikapo oktoba 28 basi pia tutakuwa na ID kumi kumi za kupigia kura!
  11. Madenge Origino

    JamiiForums Tanzania GE2020 Makonda: Rais wa kwanza CHADEMA bado yuko shule ya msingi, hawa wa sasa wanarukaruka

    Ongeza na CCM pia kwenye hio orodha
  12. Madenge Origino

    JamiiForums Tanzania Tuwape pole sana wana ACT Wazalendo

    Hassani Mwalimu ndie yupi,? Au umekusudia Hassani Abbas yule msemaji wenu wa uongo? Katafute mbege unywe siasa tuachie wenyewe.
  13. Madenge Origino

    JamiiForums Tanzania Barrick Gold Mining itamkabidhi Rais Magufuli Tsh 100billion

    Hizo si pesa kutoka kwazMabeberu! Naona CCM mumegeuga mbuzi joke sas
Back
Top Bottom