Tuwape pole sana wana ACT Wazalendo

Tuwape pole sana wana ACT Wazalendo

Sawa, lkn cha moto kakiona, Mungu kampiga ajali kumkumbusha kwamba sisi wote ni wasafiri na hapa tunapita hakuna haja ya kumzushia binadamu mwingine kifo, ...
Vipi na anaetoa amri za kuua binadam wengine?. Yeye ataishi milele?.
 
Sawa, lkn cha moto kakiona, Mungu kampiga ajali kumkumbusha kwamba sisi wote ni wasafiri na hapa tunapita hakuna haja ya kumzushia binadamu mwingine kifo, ...
Kwa hiyo wewe dada unashangilia?
 
Sasa kwa nini alimzushia kifo Raisi wa JMTZ? Alikuwa anafikira nini labda kwamba yeye kifo hakimuhusu au? Mungu kamkumbushia kidogo tu, labda next time atajifikiria mara mbili kama hata ana huo uwezo, who knows?
Rais alikuwa hoi bin taaban na aliponea tundu la sindano usifanye mchezo na watu wa kusini,mpaka kaogopa kwenda kufanya kampeni
 
Zito Kabwe alimzushia Raisi wa JMTZ kifo, sijui alifikiri yeye ni immortal ? Ona sasa anatembelea tumbo, na Ubunge ndo bye bye tena, ...
Eti ubunge ndio byebye utafikiri zito akikosa ubunge atashindwa kuishi, mtu kawa mbunge vipindi vitatu atashindwa kuishi kweli? Wewe na ukoo wako wote hamfikii maisha ya zito
 
Kama unajua dinian tunapita ucngekuwa chama chakavu mpk nw
Sawa, lkn cha moto kakiona, Mungu kampiga ajali kumkumbusha kwamba sisi wote ni wasafiri na hapa tunapita hakuna haja ya kumzushia binadamu mwingine kifo, ...
 
Exactly, akirud nijulishe

Back
Top Bottom