Recent content by madam Z

  1. madam Z

    JamiiForums Tanzania Kamati ya PAC: Cheyo na Zitto ngoma nzito

    Kaka, Kange Lugola angepewa hii kamati, nakwambia kungenyooka huko TAMISEMI, tatizo ni je, CCM wako tayari kumpatia ili aimbue serikali yao dhaifu? wanavyoona wao, Lugola ni zaidi ya mpinzani katika kutekeleza ilani ya chama....vinginevyo tuombe mungu tu kaka!
  2. madam Z

    JamiiForums Tanzania Hii hapa njia ya kutajirika haraka haraka

    Tena huyu ndio yule mbulula aliyechora zombi bila viatu!
  3. madam Z

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kuwahi kumaliza anapofanya tendo la kujamiiana…….!

    Kiukweli kabisa, huwa sipendi chini ya goli tatu toka kwa mwananume! chini ya hapo ni kama ameniandaa tu ili nikacheze mechi na wengine.
  4. madam Z

    JamiiForums Tanzania Lady JayDee na jini mahaba!

    Kwa kweli. Yaani Jide na Familia yako mmechemsha
  5. madam Z

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais ana kazi gani?

    Hapo sasa! Yaani it's boring so much
  6. madam Z

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kuunguruma Leo Rwamishenye - Bukoba mjini kwenye Jimbo la Kagasheki

    Nice to hear that bro.....we are eagerly waiting for pics
  7. madam Z

    JamiiForums Tanzania Warioba: Mimi na Salim urais basi

    well said!
  8. madam Z

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Wabunge wengi hawajui kilichowapeleka Dodoma

    Kaka wapo wengi sana, hao uliwtataja ni baadhi tu.............yaani kwa magamba....wabunge wanaojua wajibu wao ni wawili tu: Filikunjombe na Lugola, waliobaki ni ma-mbulula
  9. madam Z

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kihaya

    Ngoja tuwasubiri wahaya wenyewe waje kujibu
  10. madam Z

    JamiiForums Tanzania Natafuta boyfriend atakayekuwa mume wangu baadae!

    Habari, Nadhani nipo katika jukwaa sahihi la mahusiano. Mimi naitwa xx, mzaliwa wa Pangani Tanga kwa mama Mdigo na baba Msambaa. Umri wangu ni miaka 26. Nimemaliza first degree (BA-Econimics) mwaka jana, UDSM. Nimewahi kuwa na uhusiano na mkaka fulani kuanzia mwaka wa kwanza hadi mwaka jana...
Back
Top Bottom