Ibra Mo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2010
- 793
- 102
Mmmh kweli huyu supika hana dhamira njema kwa hii Nchi yaani na hili jembe Anxphard Lugola amelihamishia kwenye kamati ya LAAC!!katika kamati za bunge zilizokuwa na wajumbe active na wachapa kazi ni ile ya Mashirika ya Umma na wajumbe wake sa huyu Bi mkubwa sijui anataka Nchi iuzwe sababu naona ameidhoofisha makusudi.