Recent content by Madafyuka

  1. Madafyuka

    Nipo njia panda wandugu

    Endelea kumbembelza tu Mkuu utapata jibu badae
  2. Madafyuka

    Makonda njia nyeupee urais 2025

    Duh... Na sisi wapagani vp?
  3. Madafyuka

    Taarifa kwa Umma kuhusu wakuu wa mikoa kuingilia elimu

    kumbuka mabosi wa meya/diwani na wananchi kwahiyo ana kila sababu ya kumshitaki kwa umma!
  4. Madafyuka

    Ruby ampa za uso Diva

    nmekukubali kichiz kwa kucmama ktkt
  5. Madafyuka

    Unajidai na zigo, wenzio wanajidai na bikra

    [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  6. Madafyuka

    Lowassa kugombea tena Urais Mwaka 2020, asisitiza yupo fiti

    unaweza kuwa na sera kibao lkn uctekeleze hata moja
  7. Madafyuka

    Kama unafanya kazi zote za ndani mwenyewe na unyumba unakosa hii ni ndoa kweli?

    PGA punyeto achana nae... Kwani kabla hujaoa nani alikuwa anakufanyia kazi zako? Mnababaishwa na hii migubegube ya kisasa, hebu kuwa bize km humwoni vile uone km hajakupigia magoti kukuomba msamaha!
  8. Madafyuka

    Msaada juu ya swala hili

    Kwanza hujapambanua, kliniki ya ujauzito au upungufu Wa kunga mwilini?
  9. Madafyuka

    Kanitafutia kazi sasa nimekuwa mtumwa wa ngono

    Ndio maana MKE WANGU staki afanye Nazi maana wengi wenu mnaliwa kiboga tu na kuwadharau waume zenu, bora nkuache nyumbani ukaliwe kwa dakika chache urudi na heshima ishike mkondo wake maana utakuwa huna kiburi cha kibarua na hivyo vijisenti!
  10. Madafyuka

    Ushauri: Nimechoka na hii hali ya kuachwa na wanaume

    tatzo la mabnt wa leo mnapenda mteremko... story yako yote ulikuwa unataka wanaume wasomi, wenye kaz nzuri, mara wakwenda nje kusoma lkn cc wabeba zege hamtutaki. pole yako/yenu mnaopaparika na shule za watu.
  11. Madafyuka

    Mradi wa TASAF ungefutwa kwa nchi nzima

    Huyo RC hamnazo.. hv unawezaje kumwandalia/kumwekea fursa mzee mwenye umri wa miaka 70(kwa mfano). pesa hzi ni sawa na pensheni kwa wazee wetu haijalishi walikuwa wakulima au lah..!
  12. Madafyuka

    Natafuta mchumba wa kiume

    mm mkulima wa bustan km ntakufaa nfate whatsap 0752391574 npo kibaha
  13. Madafyuka

    Ushauli

    msimvunje moyo jamani, kwani walioweza wana nn?
Back
Top Bottom