Recent content by Macomeni

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Kizazi cha waoga

    r.p Mwamwindi,Muhehe Mkulima wa Isimani
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mna maoni gani kuhusu hili suala la uvamizi wa Al-Shababu hapa Palma?

    Mambo ya Mozambique,watu hawayajui kiundani,hii ngoma imetengenezwa na wenyewe
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wakati wa taharuki makinika na kila taarifa

    Naamini kila kiumbe kina mwisho, sasa utakizuiaje mwisho wake ukifika, nawakilisha.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sina lengo la kukashifu dini, ila Walokole mna kelele sana

    Kweli usilolijua sawa na usiku wa giza, unajua maana ya Adhana,unajua faida anayoipata Muadhini,pole sana,lakini ukweli wako Utaupata siku ukija fumba macho,
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sina lengo la kukashifu dini, ila Walokole mna kelele sana

    Wewe umeelewa nini, tufafanulie,na wapi walipoandika ukiwa unasali upige makelele na kulia
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ameamua kunikubalia baada ya kuzalishwa

    Wanaume wamekwisha,wamebaki wavulana wewe ni spea tyre
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Chai ya moto
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kupata wazo zuri la biashara ya kufungua

    Inabidi uende na fashion,uchukue Mizigo pisi kidogo mchanganyiko mwingi,hiyo biashara ni nzuri,ingawa bado inategemeana na eneo ulilopo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dereva wa basi la shule adaiwa kumnajisi Mtoto wa miaka 5

    Afadhali mwanamke anayefanya mapenzi na mtoto wa kiume, kuliko mwanaume anayefanya na watoto wote wawili yaani wa kike na kiume
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tarime: Fisi wafukua makaburi na kula maiti

    Tunawazika ndugu zetu ili wasitunukie na harufu mbaya na wasiliwe na wanyama wakali,ndiyo maana ya kuzika,na ulefu wa kabuli, ni kimo cha mtu mzima na aunyoshe mkono wake. Hebu niambie mnyama gani ataweza kufukua huo urefu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kupata wazo zuri la biashara ya kufungua

    Mfano nguo za kike, viatu kanga, na hata za nguo za ndani.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta China naiona jela inaniita, nisaidieni mwenzenu ninusurike

    Mbona hiyo freshi tu,mpange Mke wako kabla hujarudi,Yeye usimuharibie
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nimemuelewa DC Sabaya, inawezekana kabisa Godbless Lema alisaidiwa na CCM Arusha kwenda uhamishoni!

    Watu wa CCM mna roho mbaya sana,na hiyo ndiyo sifa yenu,kila kitu mmechukua mnachoitaji nini sasa,hamna tofauti na mchawi,Lema amewakimbia aliujua mchezo wenu sasa mnalialia nini?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kupata wazo zuri la biashara ya kufungua

    Na asilimia kubwa ya biashara inayolipa ni ile inayohusiana na bidhaa za wanawake na watoto wa jinsia yote.
Back
Top Bottom