Nahitaji kupata wazo zuri la biashara ya kufungua

TOM KENYARES

Member
Jun 3, 2020
19
8
Wanajamvi nawasalimu nyote, nimeshachukua fremu tayari katika eneo ambalo lipo mkoani Manyara, kiufupi,ni eneo ambalo lina watu wengi kiasi na biashara zilizopo katika eneo Hilo ni hizi zifuatazo:

1. Maduka ya jumla na rejareja

2. Wakala wa M-pesa n.k

3. Wauza mbogamboga

4. Seremala

5. Stationary zipo tatu

6. Fundi simu

7. Mgahawa

8. Wauza vioo

9. Hardware

...na mengineyo sasa nilichokuwa nataka ni idea nzuri zaidi nifungue biashara gani?

Mliopo katika miji mikubwa mnaweza kunipa idea zaidi, karibuni.
 
Wanajamvi nawasalimu nyote,nimeshachukua fremu tayari katika eneo ambalo lipo mkoani Manyara kiufupi,ni eneo ambalo lina watu wengi kiasi na biashara zilizopo katika eneo Hilo ni hizi zifuatazo.

1. Maduka ya jumla na rejareja 2.Wakala wa M-pesa n.k 3. Wauza mbogamboga 4. Seremala 5. Stationary zipo tatu 6. Fundi simu 7.Mgahawa 8. Wauza vioo 9. Hardware na mengineyo sasa nilichokuwa nataka ni idea nzuri zaidi nifungue biashara gani?

Mliopo katika miji mikubwa mnaweza kunipa idea zaidi.

Karibuni
 
Kuna biashara za mtaji mkubwa na biashara za mtaji mdogo, vilevile kuna biashara za mzunguko mkubwa lakini Faida ndogo, mathalani vyakula na vinywaji na kuna biashara za mzunguko Mdogo lakini zina faida kubwa kama nguo.
 
Baada ya kusema umeshachukua frem Ila huna biashara uliyofikiria kidogo nimeshtuka.

Ila kwakua umesema pia ulikua na idea ya kuuza magodoro bashauri uza magodoro maana mpaka ukawaza Hilo Ina maana umeona Kuna fursa ndani yake ndugu kwahio uza tu hayo magodoro.
 
Ndio yaani katika eneo la jirani na hapo nina ofisi ya huduma za kifedha kama M-pesa sasa nimepata kibanda kingine nilikuwa na wazo la kuuza magodoro
Endelea na wazo lako hilo hilo la kuuza magodoro. Ukijiamini katika biashara, utafanikiwa. Ila ukipenda kusikiliza sana ya watu, utashindwa.
 
Vigezo ni vile vile tu

1. Location - fanya research wapi kuna uhitaji mkubwa wa bithaa aina flani, jinsi gani huduma itafika kwa wahusika

2. Convert your hoppe to business - penda kufanya biashara ambayo utaifurahia, kuipenda hii itaongeza ubunifu kwa biashara yako.

3. Management - inashauliwa kuangalia zaidi mda wako, biashara nyingi zinaitaji mda mwingi kwenye ufatiliaji na chache unaweza fanya kazi na biashara pamoja.

4. Capital - hakikisha unamtaji wa kutosha si vizuri kuanzisha biashara kwa hela ya mkopo

Biashara ulizozitaja na nyengine nyingi unaweza zifanya
 
Fungua bucha la nyama na samaki, tengeneza wateja kutokana na hiyo migahawa, wauza chips then watu wa majumbani. Ukiona haifai uza nguo za ndani za wadada.
 
Endelea na wazo lako hilo hilo la kuuza magodoro. Ukijiamini katika biashara, utafanikiwa. Ila ukipenda kusikiliza sana ya watu, utashindwa.
Unajua kitu ambacho kimenifanya nije hapo japo KUPATA idea kwa wafanyabiashara wenzangu au wenye uzoefu pengine,ni kutokana na hiyo idea ya kuuza MAGODORO nilifanya research nikagundua kidogo minadani ndio watu wengi huchukua sana MINADANI katika eneo langu la kijijini kidogo ila katika maduka sikuwa na uhakika sana japo biashara mtu waweza kujaribu pengine matokeo yakawa mazuri
 
Vigezo ni vile vile tu
1. Location - fanya research wapi kuna uhitaji mkubwa wa bithaa aina flani, jinsi gani huduma itafika kwa wahusika

2. Convert your hoppe to business - penda kufanya biashara ambayo utaifurahia, kuipenda hii itaongeza ubunifu kwa biashara yako.

3. Management - inashauliwa kuangalia zaidi mda wako, biashara nyingi zinaitaji mda mwingi kwenye ufatiliaji na chache unaweza fanya kazi na biashara pamoja.

4. Capital - hakikisha unamtaji wa kutosha si vizuri kuanzisha biashara kwa hela ya mkopo

Biashara ulizozitaja na nyengine nyingi unaweza zifanya
Asante sana kwa vigezo hivyo
 
Ushauri mzuri huu
Ndugu zangu yaani we acha tu, unajua mkasa iko hivi kabla ya idea hiyo ya kuuza magodoro nilikuwa na idea zangu nzuri ninazozipenda mno ambazo ni,
1. Kuuza VIOO,GLASS & ALUMINUM

Ila sasa mkasa ni kwamba mwenye fremu hataki biashara zifuatazo katika nyumba yake, eti aidha itachafua nyumba yake,au vipande vya vioo vitaharibu maua yake au majani yake ya ukoko yasiendelee kushamiri.

Ila sasa nilichokipenda Mimi ni kwamba fremu hii iko site yenye watu wengi sana sana kupata yenyewe nimepata kwa mbinde,

Mwenye nyumba hataki biashara zifuatazo
1. Mgahawa
2. Vioo, aluminium & glass
3. Bucher ni mojawapo

Hata HELP DESK ya vodacom hataki

Hivyo nikasema wacha siwezi kukosa business nzuri ya kufanya hasa nikija humu kwa wandugu wafanyabiashara wenzangu,
Iko hivyo
 
Ndugu zangu yaani we acha tu,unajua mkasa iko hivi kabla ya idea hiyo ya kuuza magodoro nilikuwa na idea zangu nzuri ninazozipenda mno ambazo ni,
1.kuuza VIOO,GLASS & ALUMINUM

Ila sasa mkasa ni kwamba mwenye fremu hataki biashara zifuatazo katika nyumba yake,eti aidha itachafua nyumba yake,au vipande vya vioo vitaharibu maua yake au majani yake ya ukoko yasiendelee kushamiri,

Ila sasa nilichokipenda Mimi ni kwamba fremu hii iko site yenye watu wengi sana sana kupata yenyewe nimepata kwa mbinde,

Mwenye nyumba hataki biashara zifuatazo,
1.Mgahawa
2.Vioo,aluminium&glass
3.Bucher ni mojawapo,
Hata HELP DESK ya vodacom hataki

Hivyo nikasema wacha siwezi kukosa business nzuri ya kufanya hasa nikija humu kwa wandugu wafanyabiashara wenzangu,
Iko hivyo
Daah pole sana..hizo alizokataa ndio biashara zilizopo kwenye trending, inaonekana mzee mnoko sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom