Recent content by machokumchuzi

  1. machokumchuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukimtongoza mwanamke akakujibu nipe muda nikufikirie, mwanaume unatakiwa kufanya nini ili upate jibu zuri?

    Inakubidi umuulize, nisubirie kwa muda gani siku 2 , wiki au mwezi? Akikujibu ni muda gani uumpe inakubidi umsubirie, wakati unasubiri unaendelea kumtext au kumpigia simu ya kumjulia hali kama vl umeamkaje, pole na kazi, vp umekula? Kama hivo yaani, hiyo pia ni njia ya kumvuta karibu na ww, ila...
  2. machokumchuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kua na mwanamke mmoja ni ulemavu na unaweza kusababisha kifo.

    Mtoa post upo vzr sana! Ila hii post akiisoma mkeo ni ttz! Labda uwe hujaoa!
  3. machokumchuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume mzima unaishi kwa wakwe zako?

    Kama yumo humu tuambie tumpe somo aelewe huyu mpumbavu kbs!
  4. machokumchuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sipewi unyumba

    Fanya kama unasusa, akikuuliza mwambie ni kweli nimesusa kwa vl hunipi mgegedo! Yy mwenyewe atanyooka tu, sure I'm telling you!
  5. machokumchuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliyojiapiza kutoyafanya ukubwani yote yamenishinda. Hadi sasa nimeyafanya yote kasoro moja tu

    Duh! we Joanah are U serias?
  6. machokumchuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwahi kukumbana na hili

    Malengo gani zaidi beat and run?
  7. machokumchuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umri na mwili ni sawa?

    Subiri
  8. machokumchuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachwa na mwanaume baada ya kunifungulia duka

    Bas kuna siri chini ya kapet! Umesema uko wapi nikutembelee tuyajenge, Binafsi sioni haja ya ww uendelee kuumia wakati mtumiaji mwingine nipo!
  9. machokumchuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachwa na mwanaume baada ya kunifungulia duka

    Ulidumu nae kwa muda gani,? Lbd kuna kitu jambo ulimuudhi ndio maana kaamua kukaa pembeni! Maana wanaume tuna wivu mbaya sana, siku nyingine jaribu kumpigia kwa no nyingine uone kama hatapokea au atapokea, lkn nadhani atapokea kwani hatajua kama ni ww!
  10. machokumchuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umri na mwili ni sawa?

    Mimi nina umri wa nusu karne, lkn muonekano wangu utadhani nina miaka 35! Watu wengi huwa hawaniamini kbs!
  11. machokumchuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umri na mwili ni sawa?

    Yaani kwa muonekano mwili umezeeka umri bado, kaz kweli kweli!
  12. machokumchuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachwa na mwanaume baada ya kunifungulia duka

    Je mawasiliano yapo? Au ndio hamuonani kbs? Labda alifariki? Maana siku hizi kumaliza mwaka ni shughuli kweli kweli! Hebu fuatilia hayo halafu utupe mrejesho wake!
  13. machokumchuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepata ajali penzini nahitaji msaada wenu wakuu

    Baada ya kutoka hapo ungenunua condom mpya umeze inasaidia sana, lkn sio mbaya hata kesho asbh unaweza kufanya hivyo kama nilivyokueleza hapo juu!
  14. machokumchuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake stress nyingine tunazitafuta

    Sky Eclat upo vzr sana, endelea kuwapa darasa wasiojilewa, big sana keep it up!
  15. machokumchuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania If you are a single man answer these questions

    Baada ya kujibu maswali yako nini kifuatacho?
Back
Top Bottom