Ukiwa huna malengo utasepa tu ila kama unayo haitokusumbua
Malengo gani zaidi beat and run?
Hakuna cha wangapi kukupa suala kwamba nipe nikupe otherwise kila mtu ashike hamsini zake.....Wangapi wamekupa na hauko nao mkuu unless wewe ni wa chini tu
Ujanja ujanja wapi sema tu ulivoona kakunyima mzigo umemind ndo umemdisqualifyFor sure nilivutiwa naye kumuweka ndani sema kadri siku zinavyozidi kwenda niliona ujanja janja wake nika disqualified CV za kuwa wife
Ukitaka kujua kuwa unayemfuatilia anakupenda mpotezee.
Akikutafuta endelea naye.
Akikupotezea unapoteza muda wako.
Hata mwaka tu sawa
Nimegundua ana lundo la michepuko halafu mimi ananifanya kama ATM sasa hapo shidaaaUjanja ujanja wapi sema tu ulivoona kakunyima mzigo umemind ndo umemdisqualify
Sema wewe mkuuHahaha. .
Mapenzi ni zaidi ya dudu kupeana na anaekunyima ujue anamalengo na wewe nyumba iliyokosa msingi imara itadondoka tu siku moja
Hakuna cha wangapi kukupa suala kwamba nipe nikupe otherwise kila mtu ashike hamsini zake.....
Msipende vitonga kwamba subiria mwishoe utakuta mwana si wako
Huu ni uongo wa hali ya juu, unamkazia mtu kumbe behind of the scene kuna mwingine anajipigia tu kiulaini, nikuambie tu ukweli, no man is like to be a second choice or a back - up plan.
😂😂😂Wapuuz sana nyie viumbe
Huo ukweli ni wako sio wangu naamini somewhere kuna me wanaojielewa na wenye mapenzi ya kweli na si wapenda papuchi
Labda hatujaelewana nilikua nasema mwanamke kumwambia mwanamke kua mapenzi si sex hivo hata wakikaa mwaka mzima bila sex ni sawa, hapana.. mwanamke anaweza kusema hivo lakini nyuma ya pazia kuna mwanaume mwingine anamtafuna.
Wakati huo upo na jamaa mwingine anakula kiulaini tuu bila ya malipo
SanaaTena ukute jamaa mwenyewe ni yule mhuni mhuni unakuta kashazibua matundu yote
Huo ukweli ni wako sio wangu naamini somewhere kuna me wanaojielewa na wenye mapenzi ya kweli na si wapenda papuchi
Ukweli mtupuWanaume tunaojielewa na wenye mapenzi ya kweli, tunapenda papuchi, asikudanganye mtu.... Yaan umkubalie mwanaume miez nane halafu asiombe papuchi huyo atakuwa shoga... labda aombe halafu umnyime hapo atavumilia kipindi akiendelea kupata service ndgo ndgo kwa wengine..
Ni hayo tu