Kichwa Tango
Member
- May 29, 2019
- 58
- 78
- Thread starter
- #21
Duh!!!
Una mke au?
Sina ila nina wapenzi
Duh!!!
Una mke au?
Sasa unataka msaada wa kupigwa makofi au unataka msaada wa kupewa condom mpya?
umejiripua weye! Acha woga, nenda kapime ili upate na maushauri nasaha! Pole sana!Leo nilikua maeneo ya sinza nikijipongeza na moja moto moja baridi baada ya kumaliza majukumu yangu ya kila siku.. baada ya kinywaji kunikolea nikaona isiwe tabu acha nipate burudani ya penzi ndipo nikachukua dada poa na kwenda nae gest.. kwa jinsi nilivokua nimekamia game nilisukumiza mkunyenge kwa pupa bahat mbaya condom ikapasuka ila sikujali sababu utamu uliongezeka ila sasa najutia kwani yule dada hajaonesha waswasi wowote baada ya kuona condom imepasuka
Naombeni msaada hata wa mawazo wakuu nifanyaje ili nizuie maambukizi kama yapo ,naogopa kupima
Ok, kwa bahati nzuri hujapata ukimwi ila umepata gonjwa fulani la zinaaAta uniambie tu sina ukimwi utakua umenisaidia sana
Wakat mke atapata mimba lazma atapimaNa ili aishi kwa amani asiende kupima arelax ale maisha
Habari za miaka mingiFanya mazoez,kula vizr,mrudie muumba
wako, utaish kwa aman
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ungeishona mkuu
Sina ila nina wapenzi