Sipewi unyumba

Sipewi unyumba

Binafsi siwezi kukaa na demu bila kukwichikwichi maana ndo stareehehhe yenyewe iliyopo kwenye mahusiano mengine huwa mbwembwe tu!!
So mzee baba acha kuwa mtumwa kwa huyo manzi piga chini angalia upepo kwingine..maana mm mwenyewe nimetoka kumpiga demu chini muda sio mrefu maana ananilitea mapoz eti oooh mm sipendi romance sasa kama hupendi romance tutakuwa na mahusiano ya kama wapenzi au kaka na dada ?
Raha ya mahusiano mkunjane muonyeshane maujuzi na vile visauti ndo kabisaa....

Wale mnaocomment maswala ya ndoa kabla ya kukwichikwichi hayo mambo yamepitwa na wakati isee now tupo karne ya 21 so lazima tujuane kwanza ndo tuanze familia sio unaanza familia halafu partner wako chenga kabisa 6x6 au ndo yale unagegeda huku unaangaliwa kama mmefumaniwa vile.....
Tatzo nampenda roho inauma kumuacha
 
Unataka tukufundishe namna ya kuzini ama?
 
Niliwahu kutana na hiyo kitu mkuu na mwisho wa siku bint akaja kufunguka huku akilia kuwa yeye ni muathirika daaa iliniuma sana af mtoto mkali sana na akanionyesha hadi dawa zake...alisema ananipenda sana ila hayupo tayari kuniua kwa uzembe wa wazazi wake....
Daah!!
Noma sana
 
Itakuwa una tabia za kike kwahiyo anakufananisha na shoga yake,sisi wengine Demu akijaribu kuingia ghetto hatoki hata kwa bahati mbaya haijalishi kama ndio first time ama Last time
Tuko mwaka wa pili sasa katika mahusiano na huyu kigori.

Ila hatujawahi kukutana nae kimwili hata mara moja.shida ipo kwake yaani hataki kabisa hilo suala kila siku nikumuomba anasema nivute subira.

Na akija anagoma na mi sitaki kumlazimisha nataka anipe kwa ridhaa yake,,lakini naona subiri inavuta punyeto,maana nimesubiri hadi basi.

Nampenda sana siwezi kumuacha kwa kweli.

Mna nini cha kunambia wenzangu juu ya hii inshu na ingekuwa ni nyinyi mngefanyaje?
 
Oa kwanza ndio ulalamike kutopewa unyumba.
 
Jiliwaze hapa
IMG_20190925_195211_951.jpeg
 
Tuko mwaka wa pili sasa katika mahusiano na huyu kigori.

Ila hatujawahi kukutana nae kimwili hata mara moja.shida ipo kwake yaani hataki kabisa hilo suala kila siku nikumuomba anasema nivute subira.

Na akija anagoma na mi sitaki kumlazimisha nataka anipe kwa ridhaa yake,,lakini naona subiri inavuta punyeto,maana nimesubiri hadi basi.

Nampenda sana siwezi kumuacha kwa kweli.

Mna nini cha kunambia wenzangu juu ya hii inshu na ingekuwa ni nyinyi mngefanyaje?
si utafute kwingne mkuu
 
Mwanamke kama hataki husimbake mwache aende zake. Kulazimisha mapenzi ni hatari.
 
Tuko mwaka wa pili sasa katika mahusiano na huyu kigori.

Ila hatujawahi kukutana nae kimwili hata mara moja.shida ipo kwake yaani hataki kabisa hilo suala kila siku nikumuomba anasema nivute subira.

Na akija anagoma na mi sitaki kumlazimisha nataka anipe kwa ridhaa yake,,lakini naona subiri inavuta punyeto,maana nimesubiri hadi basi.

Nampenda sana siwezi kumuacha kwa kweli.

Mna nini cha kunambia wenzangu juu ya hii inshu na ingekuwa ni nyinyi mngefanyaje?

Huwezi kupewa unyumba wakati huna nyumba. Tafuta nyumba, muweke ndani na huo unyumba utaupata.
 
Nenda kautafute unyumba kwa yule aliekusababishia mdomo kubabuka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom