Nimecheka mpaka mother amenitandika kwenzi.Huyu msenegal mrefu ana miaka 12 anacheza klabu ya watoto ya sevillaView attachment 1132074
Acha kabisa ndugu,mwambie Bi Mkubwa dunia haiishi maajabu yakeNimecheka mpaka mother amenitandika kwenzi.
ha ha ha haHuyu msenegal mrefu ana miaka 12 anacheza klabu ya watoto ya sevillaView attachment 1132074
Daaah halafu hapa kamkanyaga huyo mtoto Wa watu sijui ilikuwajeHuyu msenegal mrefu ana miaka 12 anacheza klabu ya watoto ya sevillaView attachment 1132074
Watakuwa wamelishwa vyakula vya kuku wa kisasaSahivi ana 20 yrs old
Ha ha ha ha inawezekanaWatakuwa wamelishwa vyakula vya kuku wa kisasa

Yaani kwa muonekano mwili umezeeka umri bado, kaz kweli kweli!Ila mkuu sishangai sana japo mm nipo visevesa...umri wangu umeenda ila nina mwili mdogo mfupi alaf sura nayo ndo ivo imegoma kukomaa japo ndo ivo miaka inakwenda...in general naonekana mtoto kabisa ata shule ya msingi naweza rudi
Aisee ni mingi sana, kuna mmoja hapo juu kasema mzee wake ni wa 70s! Mtu wa 70s eti mzee! Yaani leo nimejiona mimi wa zamani sana...Kwani aliyezaliwa 92 mdogo?
Maika 27 mingi sana



Mchezaji wa kenya amezaliwa Januari 31, 1992,je unaweza kuamini ana miaka 27?unahisi ni kitu gani kimemkuza hivi?
View attachment 1131833
Huyu msenegal mrefu ana miaka 12 anacheza klabu ya watoto ya sevillaView attachment 1132074
Mzee Kagere ila inasemekana umri wake sahizi ana 29 yrs oldView attachment 1132081
Mzee Kagere ila inasemekana umri wake sahizi ana 29 yrs oldView attachment 1132081
Hiyo kitaalamu inaitwa hormonal imbalance😂😂😂😂😂Mm nahisi kibilogia itakuwa ni HOMON