Hawakufikiria vizuri kuongeza makato pasipo kufanya upembuzi yakinifu Wa mishahara kwani MTU anajikuta amebaki na laki2 au moja kwa mwezi? Ataendesha VP familia
Dah hata mm ni mwathirika Wa hilo jambo ninayo yangu mwaka sasa! Tatizo ni kuwa android os ni free so kila MTU anaweza weka app yake ndio maana utakuta kwenye play store Mara BASHITe WeNU na app nyingine but windows app uki upload app lazima utambulike na Microsoft company na waifanyie proof...
Maelezo ni mazuri sana tena yanaeleweka vizuri ! Tatizo ni navipateje hivyo vitu kutoka nilipo MF mm nipo Dodoma? Na je kama mzigo ukipotea namuulizia nani ? Na nasaidiwa vipi?
Msaada jinsi ya kujiunga na google ili uweze kupost vitu online na ww kujiingizia pesa kupitia hizo content zako mfano nikiweka video za kuchekesha ili mtu akiangalia online nakuwa najiingizia pesa
Jamani naombeni mwenyekitabu kizuri cha English grammer anitumie hapa tusaidiane kusoma hii lugha! Au hata jina la kitabu kizuri cha grammar pia nikatafute madukani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.