KUJIUNGA NA GOOGLE

machafuko sp

Member
Feb 20, 2017
10
3
Msaada jinsi ya kujiunga na google ili uweze kupost vitu online na ww kujiingizia pesa kupitia hizo content zako mfano nikiweka video za kuchekesha ili mtu akiangalia online nakuwa najiingizia pesa
 
Msaada jinsi ya kujiunga na google ili uweze kupost vitu online na ww kujiingizia pesa kupitia hizo content zako mfano nikiweka video za kuchekesha ili mtu akiangalia online nakuwa najiingizia pesa
tumia google adsense,kuna hosted na non hosted ni pm kwa maekezo zaid
 
Kama una account ya gmail tayari unaweza tengeneza pesa cha kufanya ingia YouTube upload videos zako baada ya hapo nenda katika dashboard ya YouTube nenda setting kisha monetize sasa ku monetize lazima uwe na Google Adsense uta apply haitachukua muda mrefu na utakuwa verified baada ya hapo publish video zako na kuanza kupata pesa ila lazima uwe mvumilifu pesa haiji kizembe
 
Back
Top Bottom