gkileo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 1,096
- 487
Daudthefarmer nami nitumie kwa zahiriulaya9@gmail.com. nipate information za kufungua hilo duka
ni ni , gkileo@gmail.com
Daudthefarmer nami nitumie kwa zahiriulaya9@gmail.com. nipate information za kufungua hilo duka
nahitaji softcopy ya madawa ya binadamu pls nitumie kwa email hii nikprint07@gmail.comngoja nisubiri waje ...ila kama ukitaka soft copy ya hii mambo nitumie e-mail nikufowardie
Nami pia nimefaidika mno.Binafsi nimeanza process lakini jambo moja nililokutana nalo n kwa wale wa vijijini ni lazima uwe na barua ya serikali ya kijiji kukubali ufanye biashara/huduma hiyo katika kijiji chao.Habari yako mkuu
Kwanza maabara za uchunguzi wa magonjwa ya binadamu zipo za aina tofauti kulingana na eneo lako, idadi ya wafanyakazi( hapa namaanisha na level zao) na idadi ya vipimo utakavyokuwa unafanya kwa sababu baadhi ya maabara haziruhusiwi kufanya baadhi ya vipimo.
Naamin wewe utakuwa unaanza na maabara ya kawaida kabisa hii tunaiita grade C hii ni aina ya maabara ambayo mostly inapatikana katika vituo vidogo vya afya kwa maana ya dispensaries.
Lakini pia unaweza kuifanya ikawa maabara ya kujitegemea
MAHITAJI;
1. JENGO
unapaswa kuwa na jengo zuri angalau lenye vyumba kuanzia viwil kwa maana moja ni sehemu ya kufanyia kaz na nyingine sehemu ya kukusanyia vipimo ( PHLEBOTOMY) bila kusahau vyoo
2. VIFAA
Vifaa inajumuisha
Microscope
Water bath
Refrigerator
Centrifuge
Hot air oven
Hb machine
Staining racks
Glass slides
Urine, stool and blood containers and test tubes respectively according to the corresponding test
Reagents na supplies zingine ndogo ndogo
Kwa ujumla wake hivi vitu kama tayari una jengo unaweza kuvipata kwa maximu 10million ukawa na kituo safi kabisa
mkuu,mm nataka kufungua duka la madawa ya binadamu nahitaji mnitumie list ya madawa na nini cha kufanya kwa huduma hii ya duka la dawa jimmyfoxxgongo
diploma mkuu na uwe umesajiliwa na bodi ya maabaraUnatakiwa uwe na Level gani (certificate, diploma au degree) ili uruhusiwe(kupata kibali) cha kufungua Maabara? Naomba kujua.
karibu sana bosi wanguNami pia nimefaidika mno.Binafsi nimeanza process lakini jambo moja nililokutana nalo n kwa wale wa vijijini ni lazima uwe na barua ya serikali ya kijiji kukubali ufanye biashara/huduma hiyo katika kijiji chao.
Nmekupenda kwa msaada uloutoakaribu sana bosi wangu
tupo hapa kueleza na kutoa msaada kwa kile tunachokijua na mtu akitaka documents na ushauri mwingine mi napatikana na ni free hutalipa hata sentiNmekupenda kwa msaada uloutoa
baridijr@gmail.comngoja nisubiri waje ...ila kama ukitaka soft copy ya hii mambo nitumie e-mail nikufowardie