Recent content by machacheeee

  1. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

    Tangulia kiongozi njia ya kila chenye pumzi hiyo.
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania GADNER IS ONE TRUE HERO! Sio wanaume wote wenye ujasiri wa kulikabili Comandoo Ndii ndiii

    Hadithi yako tamuuuu!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Napata wapi mti kama huu jamani?

    Nauza miche yake,mmoja elfu tano tu,nipo kimbiji karibu na kiwanda cha saruji.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Pata viwanja, ramani za nyumba bure.

    Viwanja vimepimwa?vya ukubwa gani?viko wapi?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Muuguzi adaiwa kumpiga mgonjwa wakati akimuhudumia jijini Mbeya

    Povuuu mantiki hamna,stay you're.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ama Kweli Diamond ni "Mzungu"

    Kwenye njuluku hakuna vinyon go ni rahatupu mkuu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Muuguzi adaiwa kumpiga mgonjwa wakati akimuhudumia jijini Mbeya

    Yapo mazingira umkimchekea mjamzito tu basi tegemea kifo cha mama au mtoto,wakati mwingine wote huyo muuguzi kwa nini ampige yeye tu! Kati ya wote waliojifungua tafadhali umakini na ukomavu wa maamuzi unahitajika hawa wauguzi ni msaada mkubwa sana tuwahurumie sana.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Video: Mange Kimambi anasema uhuru wetu ni muhimu sana kuliko mabilioni anayookoa Magufuli

    Big up Mange!tunaokuelewa hatupati shida na wewe unachosema ni kweli isio na shaka,na matokeo yake bunge hilo liveeee.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Linganisha Zitto Kabwe na Wabunge wa CHADEMA

    Siku zote ndg yangu akili kubwa haitawaliwi na akili ndogo hata kwa mtutu haiwezekani,Zitto akili kubwa halafu anatambua uwezo alionao na anajua kuutumia.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais na Serikali wanawahadaa wafanyakazi kuhusu punguzo la kodi?

    Mwenzenu najihisi mvurugiko wa ubongo tu,sielewi na sidhani kama nitaelewa hilo punguzo.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Joseph Kabila, amfukuza kazi Naibu Waziri Enock Ruberangabo kwa kosa la kupiga punyeto ofisini

    Bahati mbaya kiongozi,fanya toba ya kweli ......
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mmiliki wa hospitali ya Massana, Prof Lema afariki dunia

    Prof you will be missing always......
  13. M

    JamiiForums Tanzania Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

    Ukijitoa kuhudumia umma muhimu kujifunza tabia za umma,ni sawa na kufungua dirisha ukitaka kupata hewa,tegemea mbu,nzi na takataka nyingine,wakosoaji ni sehemu ya umma uliojitolea kuuhudumia ulitakiwa kujiandaa kukabiliana nao kwa hekima.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika amuita Mbunge bwege Bungeni

    Huyo mzee wa achukucha......bwege.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Shikamoo mwanamke!!

    Heri yako wewe ulie tambua.
Back
Top Bottom