Linganisha Zitto Kabwe na Wabunge wa CHADEMA

Linganisha Zitto Kabwe na Wabunge wa CHADEMA

ZZK anatetea maslahi ya nchi Na ndio maana Yuko tofauti Ni CHADEMA kwa kila kitu. CHADEMA Ni Chama kwanza Nchi baadaye. Ni makosa makubwa sana
 
Yaani kuna watu mpaka saa hii hawaoni haja ya bunge kuwa laivu ! HII NI HASARA KUBWA
 
Siku zote ndg yangu akili kubwa haitawaliwi na akili ndogo hata kwa mtutu haiwezekani,Zitto akili kubwa halafu anatambua uwezo alionao na anajua kuutumia.
 
Mbunge (ACT) ktk Mkoa wa Kigoma Zito Kabwe alitoa mchango wake Bungeni, ambao hata Serikali yenyewe imeukubali na kusema kwamba itaufanyia kazi, Serikali imekubali mapendekezo ya Zito Kabwe ambapo ameongelea mambo muhimu sana kama vile kupambana na ufisadi na jinsi tunavyoibiwa sisi kama nchi na Makampuni ya nje na nini au kipi kifanyike ili kuweza kuokoa nchi yetu!

Sasa njoo kwa chadema chini ya KUB Mbowe ametumia muda wake wote kuitaka Serikali ionyeshe Bunge live kwenye TV kana kwamba hilo ndiyo tatizo kubwa linalotukabili WatanZania!

Sasa nimeelewa ni kwa nini Zito Kabwe alishindwa kufanya kazi na viongozi wa chadema, hivi Zito Kabwe angewezaje kukaa meza moja na mtu kama Msigwa au Mbilinyi (SUGU) na kujadili jambo na kufikia suluhisho??? Na sasa kwa kuharibu kabisa ndio wamemleta Lowasa yaani fisadi Lowasa ndiye msemaji au mtu mwenye maamuzi ya mwisho chadema, halafu bado wanategema kuongoza nchi hii, hapo mtasubiri sana!
Zito Kabwe Mbunge Kigoma ACT​

vs
Mwanadiplomasia wa chadema Mb.Msigwa (Iringa)!

hao wa CCM mbona serikali haijachukua la kuifanyia kazi au wao bungeni ni kupiga meza na kusema ndiyoooo
 
Zito ni mwanasiasa wa kwel kwa upande wa upinzani wengine wapiga buruju tu.. hamna kitu!!
 
Mbunge (ACT) ktk Mkoa wa Kigoma Zito Kabwe alitoa mchango wake Bungeni, ambao hata Serikali yenyewe imeukubali na kusema kwamba itaufanyia kazi, Serikali imekubali mapendekezo ya Zito Kabwe ambapo ameongelea mambo muhimu sana kama vile kupambana na ufisadi na jinsi tunavyoibiwa sisi kama nchi na Makampuni ya nje na nini au kipi kifanyike ili kuweza kuokoa nchi yetu!

Sasa njoo kwa chadema chini ya KUB Mbowe ametumia muda wake wote kuitaka Serikali ionyeshe Bunge live kwenye TV kana kwamba hilo ndiyo tatizo kubwa linalotukabili WatanZania!

Sasa nimeelewa ni kwa nini Zito Kabwe alishindwa kufanya kazi na viongozi wa chadema, hivi Zito Kabwe angewezaje kukaa meza moja na mtu kama Msigwa au Mbilinyi (SUGU) na kujadili jambo na kufikia suluhisho??? Na sasa kwa kuharibu kabisa ndio wamemleta Lowasa yaani fisadi Lowasa ndiye msemaji au mtu mwenye maamuzi ya mwisho chadema, halafu bado wanategema kuongoza nchi hii, hapo mtasubiri sana!
Zito Kabwe Mbunge Kigoma ACT​

vs
Mwanadiplomasia wa chadema Mb.Msigwa (Iringa)!

chama kikuu cha upinzani ni kipi?

unawezaji kukubali uwezo wa CHADEMA ambao wanakunyima usingizi ACT hawana impact kwa CCM kwa sasa ni sawa na TLP.
 
Mbunge (ACT) ktk Mkoa wa Kigoma Zito Kabwe alitoa mchango wake Bungeni, ambao hata Serikali yenyewe imeukubali na kusema kwamba itaufanyia kazi, Serikali imekubali mapendekezo ya Zito Kabwe ambapo ameongelea mambo muhimu sana kama vile kupambana na ufisadi na jinsi tunavyoibiwa sisi kama nchi na Makampuni ya nje na nini au kipi kifanyike ili kuweza kuokoa nchi yetu!

Sasa njoo kwa chadema chini ya KUB Mbowe ametumia muda wake wote kuitaka Serikali ionyeshe Bunge live kwenye TV kana kwamba hilo ndiyo tatizo kubwa linalotukabili WatanZania!

Sasa nimeelewa ni kwa nini Zito Kabwe alishindwa kufanya kazi na viongozi wa chadema, hivi Zito Kabwe angewezaje kukaa meza moja na mtu kama Msigwa au Mbilinyi (SUGU) na kujadili jambo na kufikia suluhisho??? halafu bado wanategema kuongoza nchi hii, hapo mtasubiri sana!
Zito Kabwe Mbunge Kigoma ACT

vs

Mwanadiplomasia wa chadema Mb.Msigwa (Iringa)!

INA MAANA WABUNGE WA UKAWA PEKEE NDIO WA KUTETEA WANANCHI? BASI HAKUNA HAJA YA KUWA NA WABUNGE WA CCM
 
Hivi mleta hii thread ulitumwa na mtu kuileta kisha ukapewa takrima?! Siamini kama wewe binafsi unaweza kusukuma na hisia zako kutuandikia huu upuuzi.
Naufikiria muda wako wa kutafuta hizi clip na kutafuta data (bundle) za kutumia hapa JF na kuanza kuandika hicho ulichokiandika, siamini kama kweli ulikuwa ni uamuzi wako.
Unafanya wengine tuhisi kama ulitumikia tumbo katika kuteketeza hili, au labda ulitaka upate vigezo vya kuwa member kule Kapuku Forum.
Kwa ushauri, waombe tu mod's wautoe tu, coz unakushushia heshima yako.

Ova
 
Na hicho ndicho kinachonishangaza wakati mambo yanayotuhusu wananchi wa kawaida kama kupanda kwa bei ya sukari yakitusumbua Wabunge wa chadema chini ya KUB Mbowe badala ya kupambana na kuwalipigania wananchi kwenye hili wako busy kupigania Bunge kuonyeshwa kwenye TV wakati WatanZania walio na TV hata asilimia 15 ya wanachi wote hawafiki!
Rejea katiba yao, utajua kwanini wanalilia bunge live. Chama kwanza!
 
Kuwapambanisha wapinzani na Zitto ni kuwaonea, kwanza wote ni wapinzani. Labda ungelinganisha kazi ya Wapinzani Zitto akiwemo na Watawala au Zitto pekeyake na Watawala wote kwa pamoja.
 
Zito ni kichwa sana.anajitambua na atafika mbali sana.hypermyopic vision
 
Zitto naye alitaka Lowasa aende ACT. Akiwamo profesa kotila. Cdm waliweza kumpata lowasa badala ya ACT.

Pili kwa CCM kukataa maoni ya CDm na kukubali ya Zitto. cCM sio kipimo ama benchmark ya ku-assess maoni ya mbowe na zitto mbele ya majaliwa.

Kosa la akina Sugu lema, mbowe, msigwa, silioni.. nadhan ni wabunge walioshinda kwa kishindo sana kwenye majimbo yao. Hii ina maana wanakubalika.
Mbilinyi kashinda jiji la Mbeya kwa kupitia upinzani.
Msigwa na mbowe. Kimsingi ushindi wao upo maeneo yenye wasomi wengi.

Zitto amehama lakini ni yeye tu kakubalika katika chama chake.
Hii inatosha kumwelezea zito ni mwanasiasa wa namna gani.

Na madai ya akina mbowe ni wewe sasa kujiongeza kama yana mantiki au hayana hata kama hayajakubaliwa na majaliwa.

Naff said.
Profesa kotila?
 
zito ni jembe ila kwa hili anapoteza muda kwani linaweza kuwa jambo hili linawagusa watu wazito.
 
Kwa hiyo Mkuu wewe hicho ndio Kipaumbele chako ?wakati mtaani bei ya bidhaa iko juu kwa mfano sukari.
 
Kwani wewe ni sawa na zzk na wabunge wote waliopo pale bungeni hawafanani kama wewe ulivyo tofauti na mimi na wote wakilingana haina haja ya wote wawepo abaki mmoja tu
 
Kwa nini usimlinganishe na wabunge wa ccm ambao ndio wanaongoza kwa wingi bungeni? Upuuzi mwingine uwe unabaki kwenye mawazo sio lazima kushirikisha watu wengine.
 
Back
Top Bottom