Recent content by mach0

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutumia EFD machine Incotex 181

    Habarin wana jamvi. Niko na EFD Machine lakini kila nikiwasha inaprint Power Fault na haiendelei popote msaada kutatua tatizo hili. Natangulza shukrani
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada mahali yalipo makao makuu ya NIDA

    Shukrani kaka ngoja nifanye hvo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada mahali yalipo makao makuu ya NIDA

    Naulizia makao makuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada mahali yalipo makao makuu ya NIDA

    Niko university of Dar es salaam nipe muelekeo mpka kufika hapo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada mahali yalipo makao makuu ya NIDA

    Habarini wanajamvi, Ninaomba kufahamishwa mahali yalipo makao makuu ya NIDA kwani natakiwa kwenda kufuata barua ili itumike kama mbadala wa kitambulisho cha taifa wakati wa kuomba passport. Natanguliza shukrani
  6. M

    JamiiForums Tanzania NIMEPOTEZA VYETI VYANGU NAWEZAJE KUKAMILISHA USAJILI WANGU WA CHUO

    ahsante ngoja nifike pale leo
  7. M

    JamiiForums Tanzania NIMEPOTEZA VYETI VYANGU NAWEZAJE KUKAMILISHA USAJILI WANGU WA CHUO

    sawa ahsante mkuu ila kopi za hvo vyeti niko nazo maana nili print sasa ntaeza kuendelea na usajili?...
  8. M

    JamiiForums Tanzania NIMEPOTEZA VYETI VYANGU NAWEZAJE KUKAMILISHA USAJILI WANGU WA CHUO

    Habari wanajamii, wakati nikiwa nafanya usajili hapa chuo kikuu cha dar es salaam (UDSM) na nikiwa tayari nishachukua admission letter pamoja na kupata picha ya ID nikapotelewa na vyeti vyangu vyote kabla sijapeleka documents sehemu husika kukamilisha usajili. Nafanyaje ili kukamilisha usajili...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ni wapi naweza kutuma EMS nje ya nchi na gharama zake?

    Habari wanajamii, naomba kuelezwa ni wapi naeza tuma ems nje ya nchi na gharama yke. nchi inapotoka: TANZANIA nchi inapokwenda: SOUTH KOREA pia makadilio ya muda mpka kufika huko. Ahsanteni
  10. M

    JamiiForums Tanzania Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

    Nakumbka ile tunafnya pre mock naingia ndan ya paper 1 naona chenga tu ila kwa baraka za mungu paper 2 ikavuja. Kilichotokea hta shule haikuamin yan nikawa na 30 paper 1 af paper 2 nna 90 hpo ndip nkajua phys sio matak* kila mtu awe nayo.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Salute kwa waliosoma PCB/PCM

    Unaonekana ni jinsi gani ulivyo kilaza toka form 2 eti theory ya Newton hata hujui kutofautisha kati ya theory na law.Pole kwa hilo pia hujui kma kuna Theoretical and Practical Physics ukijua hvo vitu hautaandika huo upuuzi tena. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Mavoko a.k.a Billionaire kid kufuta picha insta!?

    Alieweka uzi huu atakua ni mwandishi wa gazeti la Ijumaa au Sani.Maana siamini kma mwanaume anaeza andka uzi kma huu. Kweli tanzania ya viwanda haiwezekani Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Jinsi ya Kupata Passport

    Ndo hvo ndg yan hii nchi inapoelekea... Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom