Msaada mahali yalipo makao makuu ya NIDA

Niko university of Dar es salaam nipe muelekeo mpka kufika hapo
Panda basi hadi Makumbusho,kutoka Makumbusho panda basi jingine linaloenda Posta kupitia Ali Hassan mwinyi, shuka kituo kinaitwa DSTV(kontena). Ukishuka tembea uelekeo ule ule wa basi uliloshuka kwa mita kama 200 utaona barabarra inaingia kulia inaitwa KILIMANI. Utaona ofisi za Nida kushoto kwa hio barabara.
 
Ya
Habarini wanajamvi, Ninaomba kufahamishwa mahali yalipo makao makuu ya NIDA kwani natakiwa kwenda kufuata barua ili itumike kama mbadala wa kitambulisho cha taifa wakati wa kuomba passport.

Natanguliza shukrani

Yapo Kibaha karibu na stand mpya
 
HQ ya NIDA nasikia iko kibaha kwa sasa

Ipo Kibaha, panda gari iendayo Mbezi halafu chukua gari za Kongowe/Mlandizi na utakapofika Mailimoja gari itaingia stend ya Loliondo, ukitoka hapo stend inayofuata ni kona ya hapo makao makuu ya NIDA, Kama una gari binafsi nenda mpaka TAMCO na mbele yake kidogo utakuta barabara inayoingia mkono wa kulia fuata hiyo mpaka utakapoona jengo la ghorofa mkono wa kushoto basi utakuwa umefika...kumbuka hapa kuna wakati Rais alidai kuwa jengo hilo limejengwaa kwenye mkondo wa maji?
 
naona umeuliza swali
 
Niko university of Dar es salaam nipe muelekeo mpka kufika hapo
Nenda Hadi Makumbusho Halafu Panda Gari Za Kwenda Postal Via Ally Hassan Mwinyi Road Telemka Kituo (Msaada)Escape One Jina Nimelisahau Halafu Utatembea Kwa Miguu Ulipo Ubalozi Wa Ufaransa
 
Panda basi hadi Makumbusho,kutoka Makumbusho panda basi jingine linaloenda Posta kupitia Ali Hassan mwinyi, shuka kituo kinaitwa DSTV(kontena). Ukishuka tembea uelekeo ule ule wa basi uliloshuka kwa mita kama 200 utaona barabarra inaingia kulia inaitwa KILIMANI. Utaona ofisi za Nida kushoto kwa hio barabara.
Shukrani kaka ngoja nifanye hvo
 
Makao Makuu ya NIDA yapo KIBAHA, Mkoa wa Pwani.
Wale wa kibaha hawadili na kesi ya mmoja mmoja pale ndipo vinafyatuliwa vingi kwa nchi nzima ndio wanafuata pale hizi nida za mikoani na wilayani so asiende kule
 
Habarini wanajamvi, Ninaomba kufahamishwa mahali yalipo makao makuu ya NIDA kwani natakiwa kwenda kufuata barua ili itumike kama mbadala wa kitambulisho cha taifa wakati wa kuomba passport.

Natanguliza shukrani
ulifanikiwa kupata barua hio???
 
Wakuu naomba kupata muongozo kwa wale wanaotaka kubadili taarifa...naskia mpaka uwe na kibali Cha mkurugenzi mkuu...naomba kwa aliewahi kupata barua hyo anisaidie due nipo dar hapa kuifuatilia
 
Back
Top Bottom