Msaada jinsi ya kutumia EFD machine Incotex 181

mach0

Member
Aug 7, 2018
24
13
Habarin wana jamvi. Niko na EFD Machine lakini kila nikiwasha inaprint Power Fault na haiendelei popote msaada kutatua tatizo hili.

Natangulza shukrani
 
Ina chaji ya kutosha? Kama inayo na bado inazingua rudi kwa wakala aliekuuzia ukapate msaada wa kiufundi na maelezo zaidi
Habarin wana jamvi. Niko na EFD Machine lakini kila nikiwasha inaprint Power Fault na haiendelei popote msaada kutatua tatizo hili.

Natangulza shukrani
 
Back
Top Bottom