bado Roger uwiiimwenyewe shule advance siitamani tena,,,ata wanipe hela hapa...msuli tembo matokeo sisimizi mambo ya tranter,understanding, pure uwiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuit sio lazma advance nilisoma PCB bila tuition yoyote hata physics sio ngumuMkuuuu niseme test ya kwanza ya phy nilipata 28 ya 100.
Kusoma PCM PCB PGM ,alafu uliingia bila twiti ,Phy atabaki kua mchawi anaywhitaj dawa madhubuti
Akajadili 'watoto wa mama ntilie'wee bwana swali gani hilo unauliza? jambo kama halikuhusu kaa mbali,kaanzishe nawewe topic ya riwaya ujadili na wenzako
Ulicheza kama messi mkuuPicha linaanza nipo form five pale mtwara tech. Naingia school siku ya kwanza njemba naingia class nakuta makamanda wamehamishia trunkers darasani wanapiga misuli mirefu balaa..! Mtu anasoma masaa 18 kwa siku..! Wakati mie nusu saa tu nmeshaanza kusinzia..! Nikaona isiwe tabu, nikakubaliana na wenzangu wanne kuwa siye tutakuwa msuli bwenini maana mashindano yale hatutayaweza kabisaa..! Mpaka namaliza form six nimewahi kuingia darasani haizidi week tatu..!
Back to the topic. Physics mie niliielewa toka nipo form five kuwa sina akili za kusolve hayo madude and so nikafanya research ndogo nikafahamu kuwa nahitaji principle mbili pekee ili niingie chuo. Basi nikakaza kwenye Bios and Chem nikatoka na Double D na S ya physics huyooo chuo na wanyama waliopiga A ya physics.
Ile siku tunafanya pepa la physics la necta wala sikuelewa ugumu wa ile pepa maana hata nikisoma swali nilikuwa sijui linataka nini..! Naona watu wanasikitika tu wakati mie nimeshafanya maswali yangu yakunitoa kwenye mswaki nikawa nawachola tu..
Sitasahau necta 2005 vifaa vya umeme viliponigomea Hadi msimamiz kunionea huruma nichukue data kwa jirani niendelee na swali kumbe jirani nae kapata data za uongo
Nakumbka ile tunafnya pre mock naingia ndan ya paper 1 naona chenga tu ila kwa baraka za mungu paper 2 ikavuja.
Kilichotokea hta shule haikuamin yan nikawa na 30 paper 1 af paper 2 nna 90 hpo ndip nkajua phys sio matak* kila mtu awe nayo.
Ni somo rahisi sana mkuu ...Tatizo madogo wanapenda wakina mgote na moudy badala ya kuja kusoma shule wanashinda mchikochini tu wanakatishwa tamaa tu unakuta pam lona maswali 450 halaf mengi ni opp.mbona adv phy ukisoma kwa malengo inaenda vzuri
Natka niwasaidie madg na niwaeleze kwamba physics sio ngumNatafuta center advance pcb iwe practical za kutoxha walimu na wanafunz wengii
Maisha ni kuchagua..umetisha university ulienda kusoma nini??Picha linaanza nipo form five pale mtwara tech. Naingia school siku ya kwanza njemba naingia class nakuta makamanda wamehamishia trunkers darasani wanapiga misuli mirefu balaa..! Mtu anasoma masaa 18 kwa siku..! Wakati mie nusu saa tu nmeshaanza kusinzia..! Nikaona isiwe tabu, nikakubaliana na wenzangu wanne kuwa siye tutakuwa msuli bwenini maana mashindano yale hatutayaweza kabisaa..! Mpaka namaliza form six nimewahi kuingia darasani haizidi week tatu..!
Back to the topic. Physics mie niliielewa toka nipo form five kuwa sina akili za kusolve hayo madude and so nikafanya research ndogo nikafahamu kuwa nahitaji principle mbili pekee ili niingie chuo. Basi nikakaza kwenye Bios and Chem nikatoka na Double D na S ya physics huyooo chuo na wanyama waliopiga A ya physics.
Ile siku tunafanya pepa la physics la necta wala sikuelewa ugumu wa ile pepa maana hata nikisoma swali nilikuwa sijui linataka nini..! Naona watu wanasikitika tu wakati mie nimeshafanya maswali yangu yakunitoa kwenye mswaki nikawa nawachola tu..
Nmemaliza udom Bsc. BiologyMaisha ni kuchagua..umetisha university ulienda kusoma nini??
Ila ni utoto tu ule. Nilitakiwa nikomae nayo kindakindaki nipate japo ka D.Ulicheza kama messi mkuu