Recent content by mac meshack

  1. mac meshack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kweli

    Njoo pm mama
  2. mac meshack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba badae awe mme,na mungu akibariki tufunge ndoa kanisani

    Njoo pm mama....!
  3. mac meshack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ungekuwa wewe ungemfikiriaje ama ungefanyaje.....?

    Jaman huyu mleta uzi, balehe inamsumbua tuachane nae ajishaur mwenyewe anatupotezea mda
  4. mac meshack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanaume atakayekuwa mume wangu

    Ni pm pls
  5. mac meshack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mnaoingia chumvini hata bomu mnaweza kumeza

    Kwenda chumvin kuna raha yake aisee.....! Tangu nimeanza mapenz huwa siachi kwenda chumvin na ctoacha daima. Yaan am team chumvin
  6. mac meshack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wewe dada nakuhurumia... 30 yrs!

    Ndugu, je angekuwa dada yako anaanikwa hivi ungejickiaje? Jitahid kutumia busara co kila kikutokacho akilini ni cha kupost. Unajishushia heshima yako
  7. mac meshack

    JamiiForums Tanzania NAUZA GARI BENZ ML 320 NO T 252 ABG

    Bei?
  8. mac meshack

    JamiiForums Tanzania Wasichana: Jisafisheni miili yenu mnatia aibu

    Mleta uzi,umenikumbusha mbali sana .kuna cku nilikuwa na appointment na dem lodge alipovua nguo had niliogopa demu alikuwa anatoa haruku ktk k hataree ikabidi nizuge napokea xim naitwa ofcn kuna dharura .....nikamwambia baby nitarud nimeitwa ofcn.baada ya miez miwili nikaonana nae njian aliona...
  9. mac meshack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kuwa na gari ni kivutio kwa wadada katika mahusiano?

    Mbaya zaidi hawa madem hawajali gar ni la serikali au la ,wao gar ni gar tu......
  10. mac meshack

    JamiiForums Tanzania Nahitaji 3Y Engine

    Bei gan?
  11. mac meshack

    JamiiForums Tanzania Nahitaji 3Y Engine

    Nahitaj hiyo engine, kwa mwenye nayo anitafute nipo dodoma .
  12. mac meshack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wadada wengi wazuri huwa hawadumu kwenye ndoa?

    Ndugu.....! Uzur wa mke co sura, umbo nk. Uzur wa mwanamke ni tabia.
  13. mac meshack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tabia hii vipi?

    Pole sana dadangu....! Kwanza inakubid usisononeke juu ya jaribu ukilonalo sbb madhara yanarud kwa mtoto ulienae. Pili inabid umkumbuke mumeo ktk sala zako na tatu inakubid umshirikishe mungu kabla ya mazungumzo na mmeo maana ktk khali ya kibinadamu huwez fanikiwa kumuweka sawa mzaz mwenzio...
  14. mac meshack

    JamiiForums Tanzania Mambo yaliyopelekea Matokeo mabovu CARE 2016

    Mungu atusimamie juu ya malezi ya vijana wetu pia tuwakumbuke ktk sala maana inasikitisha sana hii khali kwa kweli
Back
Top Bottom