Wanaume tabia hii vipi?

Wanaume tabia hii vipi?

Unataka wote tunuke mikojo?
Unataka nimbemende mtoto?
Acha nikaondoe stress na nikipata mlupo poa tu hadi urikave
 
Jaribu kujichunguza na upande wako pia. Wanaume hawapendi kelele wala dharau...

Vinginevo pata muda wa kuongea nae kumweleza vile unavotamani awe karibu na familia. Ukiongea nae kwa utulivu naamini atabadilika,hakuna mwanaume kichwa ngumu kwa mwanamke mnyenyekevu....
Umesahau pia hatupendi uchafu, kuna wanawake wengine wakiwa wanalea wanaona kama hawana haki ya kujiremba
 
Kiuhalisia mwanaume anakuwa na hali ya kumpenda sana mwanae na hii husababisha hata kusikia sauti ya mtoto akilia hafurahii. Hivyo ili kuepuka kero hiyo huwa tunakaa mbali na watoto hasa wachanga maana wanapenda kulialia. Mwanamke anaweza kumsikia mtoto analia lakini akaendelea na shughuli zake kwa muda jambo ambalo kwa mwanaume hawezi.. Ndiyo maana kama umeshafatilia mtoto akilia baba yake anakuwa wakwanza kuuliza, "mama flani mbona mtoto analia, tatizo nini siumnyanzishe?"
Kwa hiyo we relax wala usiwe na wasiwasi wowote,, mtoto wenu akishafikisha umri Wa kutembea na baba yake utaona mabadiriko tu.
 
tatizo la kinamama mnaponyonyesha hamjali mazingira unakuta mtoto hajadilishwa nepi wewe unanuka maziwa nk.lakini kiukwelwi sisi kinababa hatupendi watoto wachanga kama mimi napenda mtoto akishaanza kutembea.ukitaka akae nyumbani acha tabia ya kumkabidhi mtoto hadi akuombe mwenyewe na hakikisha hakai naye muda mrefu
 
Kwaio wewe mume wako kubeba mtoto ndo dalili ya upendo? What sort of love ingredient is that? Au unataka au unautaka mjeredi wakati kisiwa cha bumbire hakijakauka? Na km kukxaidia kubeba mtoto ndo upendo basi subiri aanze beba mtoto afu akunyime mjeredi apo ndo utajua namna ya kupima upendo ukimisi mjeredi miezi mitano apo ndo utajua kmbe kpimo cha upendo ktk ndoa ktoka kwa mume wako ni kupewa mjeredi si kubeba mtoto,
 
wanawake sijui kwa nini mnapendana kutishwa na vimvuli kulko mtu,sasa asipokusaidia kulea mtoto ndio huna chako? 90% ya wanume hawajui na hawawezi kulea watoto kwa hyo ukipima upendo wa mumeo kwa kuto lea mtoto basi itakula kwako
 
Pole sana dadangu....! Kwanza inakubid usisononeke juu ya jaribu ukilonalo sbb madhara yanarud kwa mtoto ulienae. Pili inabid umkumbuke mumeo ktk sala zako na tatu inakubid umshirikishe mungu kabla ya mazungumzo na mmeo maana ktk khali ya kibinadamu huwez fanikiwa kumuweka sawa mzaz mwenzio. Mungu akutangulie dadangu
 
Habarini wana mmu,
Mimi Ni mwanamke ambaye nimeolewa na Nina Mtoto mmoja mchanga miezi 3, tatizo nililonalo Ni kwamba mume Wangu huwa hapend kukaa nyumbani yeye akirud kutoka Kazini Ni kupumzika kidogo then anatoka Hadi usiku Sana

Hana muda Hata wa kunisaidia kukaa na Mtoto angalau nami nipumzike kidogo maana anajua jinsi Mtoto anavyosumbua na tunakaa wenyewe tu Mimi na yey mume Wangu, daima yeye anajali company za marafiki tu.

Je hapo tabia hii inaashiria nini? Mapenzi yapo kweli au ndio Sina changu tena?
Wivu utakuua wewe!!!

Ulitaka mkae tuuuu ili akichoke?

Mume wako anakili nzuri ili isipoteze radha yako anafanya hiv

Jali usafi sana kwa kuwa harufu za akinamama baada ya kujifungua huwa haziwafurahishi wanaume wengi

Hakikisha unamjali naye sio mtt tu kumbuka anaweza potelea huko

Natumai anakupenda tena sana ndo maana anataka asije kukuudhi au ukamuudhi maana mkikaaa pamoja mmmmhh
 
wanaume ni wabinafsi sana ,wana roho mbaya kuloko shetani lea tu mwanao mamy ishi nae tu maisha yaende
Roho zetu nzuri sana,apo lazma kutakuwa na reason,hatukurupukagi tu usikute jamaa shetani mahaba hayuko mbali,ili kumnusuru mwanae na mkewe bora akapige misele mbele kwq mbele,kuliko kum bemenda mwanae
 
Jaribu kujichunguza na upande wako pia. Wanaume hawapendi kelele wala dharau...

Vinginevo pata muda wa kuongea nae kumweleza vile unavotamani awe karibu na familia. Ukiongea nae kwa utulivu naamini atabadilika,hakuna mwanaume kichwa ngumu kwa mwanamke mnyenyekevu....
Wafunde dada wafunde kabisaa wengi wapo wapo tu
 
Back
Top Bottom